Challenge ya picha: Ni picha gani unaitafuta bila mafanikio

Challenge ya picha: Ni picha gani unaitafuta bila mafanikio

NAOMBA PICHA ZIFUATAZO CHUMBA AMBACHO HAKIJAPIGWA BODY KWA JUU SO NJIWA WANAKAA KWENYE MAKENCHI NA WAMEWEKEWA VIOTA VYAO..
NYINGINE NAOMBA YA CHUMBA WANACHOLALA KUKU ILA KIMEDIZAINIWA WANALALA JUU NA WANA UWEZO WA KUJIPANGA HATA 200 NDANI
NYINGINE NAOMBA TV YAANI SCREEN IMEFUNGWA JUU YA MTI NA MTU ANAPANDA MTI KWA NGAZI KWENDA KUTAZAMA..KWA JUU KUWE NA KA BENCHI..ILA mti usikatwe design yaketi ubaki na majani vile vile.
NYINGINE NAOMBA kuuona mtego wa kenge anayependa kukaa juu ya makenchi

Asante
Watu bwana
 
Mimi natafuta video fulani..yaani "inasemaekana ni ya Kongo, hapo jamaa wanasafiri kwa shida sana gari ni zile Lori za zamani, Kila hatua ni matengenezo lkn finally wanafika,, mwenye background Kuna wimbo wa Lesi wa nyika wa Safari...

Msaada kaka Mshana Jr
 
Picha ya graduation 🎓 ya VETA wait, wale jamaa sijawahi sikia wana graduu.
 
kuna ile picture jamaa kashika vitabu kifuani mkono mmoja wa pili kashika mwavuli, mvua inanyesha na anatembea ndani ya maji ya mafuriko.
Hata hivo vitabu havijakingwa vema na ule mwavuli wake, na anakoelekea ni kama maji yanazidi kina zaidi na anaenda kuloana zaidi yeye na vitabu vyake.

Nisaidie mkuu Mshana Jr
 
Mimi huyu hapa
VID_20250217_002859_926_1_1.gif
 
Back
Top Bottom