Aiseeee. .
Ngoja na mimi nishuke na challenge zinazonihusu, japo siagi.
A.Nshatishiwa tindikali.
B.Nshatokewa na VIbabu.
C.Eti nna maadui.
D.Nshaolewa na kuachika mara kadhaa.
E.Nshamwalika mtu UngaLTD nikajuuuuuta kujipendekeza.
F.Nshakopa kwa ID tofauti mpaka leo nadaiwa.
. . . . . . .
Hiyo ni trailer. . .bado mkanda.
Haya pole Husninyo. . . .wasalimu wote uendako.
Hahaa yale yale wa wabongo?
Hawajibi mtu hapa.
Mkuu bado hujakanusha kama wewe ndiye huyo kibabu.
Ukikanusha tuu tunabaki na Asprin.
Hus,
Pole sana mdogo wangu,
Kusema kweli...tena ukweli wa moyoni, siku yangu imeharibika ghafla....
Binafsi sijawahi kupata challenge yoyote hapa JF na pia napata PM zisizozid 2 kwa week.....labda kwa sababu ni kibabu cha 1947 au ...??????
Pumzika salama Hus.....
Babu DC!!!
Lizzy Bashaija kanywa sumu juu yako kwa ajili ya kukumiss. teh teh teh.
Karibu shosti, tulikumiss.
Dah. . . hiyo ni challenge G...hehhhe
Asante mwaya . .salama hapa?!
Babu oyeeeeeee!😛oa
Lakini wasikusumbue babu yangu, Huyu anaetajwa wamesema ni kijana
kwa maana ya kwamba ukiona ID utadhani ni kijana kama husninyo
Ukija kumuona live ndio unaona ni babu, wewe mstaarabu babu, ulisema mapema.
jamani lakini kibab cha challenge D mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kina stahili sifa maana sijui kilikua kinatumia maneno gani hadi kikafanikiwa kupata date na husninyo,vijana fanyeni mkijue hichi kibabu kiwafundishe mbinu kinaonesha kina utaalamu fulani wa kipekee.
Inatisha aisee. .teh teh teh, kweli naona ni G.
hapa habari ndio hio majonzi tu yametujaa mwenzetu anatuaga.
yote hio ikiwa madhara ya Mapenzi, Mahusiano na Urafiki.
Kibabu's game is tight!
Sorrryyyyy Babu yangu, sikumaanisha ni weweMwali,
Husninyo kaongelea kibabu na wala siyo Babu....Babu ni neno la heshima sana kiasi kwamba hiliwezi kuingizwa kwenye mambo ya kitoto namna hii....Take note please!!
Babu DC!!
Duuuhhh,
Sasa hapa kaka unataka kusemaje?
Haki ya nani vibabu vimebwambwa live....
Heri ya akina Babu ambao wanalea na kutunza wajukuu zao ili wafike huko waendako salama!!
Babu DC!! (Kumwita Babu DC kibabu ni name calling and zero tolerance will be applied!!)
Duuuhhh,
Sasa hapa kaka unataka kusemaje?
Haki ya nani vibabu vimebwambwa live....
Heri ya akina Babu ambao wanalea na kutunza wajukuu zao ili wafike huko waendako salama!!
Babu DC!! (Kumwita Babu DC kibabu ni name calling and zero tolerance will be applied!!)
Sema astaghafirulah Lizzy. MMU ukifungwa naenda wapi?Inatisha aisee. .
Sijui tuombe hili jukwaa lifungwe kwa muda watu wapumzike hizi challenge......?!Vibabu na vibibi navyo vijipange upya, mambo ya kuleteana mvi kwenye vilabu vya mziki sio ishu.
Sorrryyyyy Babu yangu, sikumaanisha ni wewe
Kibabu kitajulikana tu, ngoja tukitege kwa PM
Halafu kikisha julikana nakuja kukisema kwa fumbo
Na huyo jike-dume nae tutamjua sasa hivi tu, lol
Babu DC mbona una wasiwasi sana?!Au unahusika kwa namna moja ama nyingine?!
Ghafla bin vuu nimetokea kum-admire 'Kibabu'.
Kwake naona kuna mawili matatu ya kujifunza kuhusiana na mbinu na mikakati ya kuwatokea mashoree.
Kwa sababu kilichomuangusha 'Kibabu' ni umri tu. Sasa hebu piga picha mtu wa rika langu mwenye skills kama za 'Kibabu'....si itakuwa balaa?
Nataka sana kumjua huyu 'Kibabu' na kama ikiwezekana nim-befriend kabisa anichukue kwenye wing yake.
Kuna mmoja nina mashaka nae sana...Ghafla bin vuu nimetokea kum-admire 'Kibabu'.
Kwake naona kuna mawili matatu ya kujifunza kuhusiana na mbinu na mikakati ya kuwatokea mashoree.
Kwa sababu kilichomuangusha 'Kibabu' ni umri tu. Sasa hebu piga picha mtu wa rika langu mwenye skills kama za 'Kibabu'....si itakuwa balaa?
Nataka sana kumjua huyu 'Kibabu' na kama ikiwezekana nim-befriend kabisa anichukue kwenye wing yake.
Kuna mmoja nina mashaka nae sana...
Nikithibitisha nitakutonya, usijali.
ana tabia ya kuchakachua chit chat
company yake ni ya vijana kweli
But for some reasons he sounds "third age"...
Nilitaka kukutumia kweli ila nikaona niacheMwali, Nangoja PM yako, au EMT ndio kakutisha?
C. Challenge
Hii ilihusu rafiki yangu niliyekutana nae humu, alikuwa nirafiki mzuri ila sahivi sipo nae tena. Tulikuwa tukisalimiana kwa pm na kusharemawili matatu. Huyu rafiki amepotea ghafla JF, sijui kama amekufa au lah maanamwaka unakatika sasa. Hii inanihuzunisha sana.