Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,230
wasiwasi wangu ni kuwa ajira za watu kama ben saanane wataishije,tusijekuwa tumejipalia makaa watuue sote kwa sumu
Nitajiunga na mradi wenu wa kukwapua simu.
...Zuzu!
wasiwasi wangu ni kuwa ajira za watu kama ben saanane wataishije,tusijekuwa tumejipalia makaa watuue sote kwa sumu
Hawa jamaa tayari washaamua,wanatuma wasiojaribu hata kidogo kushirikisha bongo zao,Pasco, hapo ni 'itathibitika' au unamaanisha 'endapo itathibitika'? Kwamba Tendwa ameshajua kuwa itathibitika au ametoa condition kuwa iwapo itathibitika?
Nakumbuka CCM ilivyoisambaratisha NCCR-Mageuzi kwa miaka mitatu 1995-1997 chama kikawa kwisha habari.
Watu hujifunza kutokana na makosa, CHADEMA ina miaka 20.. CCM na makandokando yake (TANU, ASP etc) ina miaka 50 cha kushangaza ni kwamba bado CCM haina heshima kwamba upinzani umekomaa!
Ni kweli inaweza kuwa ngumu de jure, lakini kwa vile chadema wamejimilikisha kesi binafsi ya Lwakatare kwahiyo de facto hukumu ya Lwakatare inakuwa hukumu ya CHADEMA.
CHADEMA kitaonekana chama cha ajabu kuliko vyote duniani iwapo Lwakatare akikutwa na hatia wataamua kumkana. Kwahiyo mkanda ukishathibitika kisheria kuwa ni "bonafide genuine" basi CHADEMA wanakuwa na kesi ya kujibu kama chama. Na hapo ndipo Tendwa atakuwa standby na kalamu yake nyekundu...
pasco asante kwa kutiririka ila siyo raisi kiasi hicho kuifuta cha mungu na kama wanataka nchi ichafuke wathubutu.
"PASCO NAONA KINANA LARGER ILISHAMKOLEA TENDWA NDIO MAANA AKAWA ANA ROPOKA TU"
Sheikh Yahya alitabiri kuwa yeyote atakayempinga Kikwete kwenye uchaguzi mkuu 2010 mauti yangemfika: cha ajabu zaidi mauti yakamfika mwenyewe!