Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa Katiba!... Endapo ...!

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa Katiba!... Endapo ...!

Status
Not open for further replies.
wasiwasi wangu ni kuwa ajira za watu kama Ben Saanane wataishije,tusijekuwa tumejipalia makaa watuue sote kwa sumu
 
Pasco hivi unaweza kupoteza muda kufanya mahojiano na Tendwa, Tendwa huwa hana ubongo alijaliwa uti wa mgongo pekee.
 
Ni kweli inaweza kuwa ngumu de jure, lakini kwa vile chadema wamejimilikisha kesi binafsi ya Lwakatare kwahiyo de facto hukumu ya Lwakatare inakuwa hukumu ya CHADEMA.

CHADEMA kitaonekana chama cha ajabu kuliko vyote duniani iwapo Lwakatare akikutwa na hatia wataamua kumkana. Kwahiyo mkanda ukishathibitika kisheria kuwa ni "bonafide genuine" basi CHADEMA wanakuwa na kesi ya kujibu kama chama. Na hapo ndipo Tendwa atakuwa standby na kalamu yake nyekundu...

Mimi si mwanasheria. Unamaana kumtetea mtu, akikutwa na hatia na wewe uliyemtetea utafungwa? Kama ni hivyo kuna maana gani ya kuita mashahidi kama mtu akipatikana na hatia na shahidi naye atakwenda na maji?
 
Hakuwaacha watangetange jangwani, get your facts right, alikuwa nao jangwani for all those years mpaka alipoowaona wapo mature enough to go to the next stage.

Hata wewe mtoto wako huwezi kumpeleka shule akiwa na miezi 9, utakaa nae na utamngojea huku ukimsaidia mpaka umri wa kwenda shule ukifika na akiwa mature enough intellectually ndio utampeleka shule.
Mkuu wana wa Israel walipitishwa jangwani kama training ili wakomae kivita psychological and physical kuondokana na usoft wa Misri!!
Kwa hivyo walitakiwa wawe real soldiers waweze kuhimili mikiki ya kuwaondosha makabila kwenye ardhi yao ya urithi ya Kanaani!!!
 
kwenye mengi mazuri uliyoandika mkuu Pasco hapo kwenye ubluu ndio pwenti inayothibitisha kuwa nchi yetu haiongozwi kwa misingi ya utawala wa sheria. Halafu ndio nashangaa inakuwaje baadhi ya Watanzania wanasifia utawala wa namna hii?

Hata hivyo ni tafsiri potofu ya sheria - kwani sheria ya usajiri na kufutwa kwa usajiri inahusu vyama vya siasa bila kujali ni chama tawala au cha upinzania. Hakuna sheria exclusive pale. Kama kufutwa kwa chama kutamaanisha ni kufutwa kwa serikali iliyopo madarakani hilo ni jambo lingine lisilo mhusu yeye kama msajiri wa vyama vya kisiasa. Hilo litakuwa ni jambo la mgogolo wa kikatiba. Mahakama ya Katiba ambayo haipo isipokuwa likitokea jambo kama hilo basi ndo kazi yake. Sheria ya usajiri wa vyama vya siasa haina upekee wa chama tawala - vyote ni vya siasa na mwongozo wake ni mmoja tu.
 
JF ni nyumbani kwetu, ni sebuleni kwetu na chumbani kwetu, tunashinda JF, tunalala JF, tunaamka JF, in short tunaiishi JF, kwetu JF is life we are living for!.
ungekuwa HAUOGOPI kuwa 'Verified Member"
 
Tatizo ni moja tu: CHADEMA kuwa tishio kwa mustakabali wa Magamba. Watatunga mengi lakini hawatafanikiwa. Sikujua kama magamba ni chama dhaifu namna hiyo yaani hakiwezi kufanya siasa majukwaani bila CHADEMA kufutwa. Hii ina maana udhaifu wake huu unakifanya kikose sifa ya kuwa chama tawala. Walianza na ukabila, kanad, udini na sasa dhana p[otofu ya ugaidi. Yote hayo wamepigwa nabao.

Huyo Tendwa ni cha mtoto na huwa anasinzia wakati CCM wanafanya faulo na huzinduka kuongea mambo wakati CHADEMA wanatekeleza majukumu yake ya kuwatumikia na kuwatetea wananchi waliopigika ndani ya nchi yao. WATASHINDWA na KAMWE CHADEMA hakitikisiki hadi kieleweke.

Wamebaki wanazunguka nchi nzima na bango la ugaidi lakini wananchi wameshawashtukia na wanajiuliza" Hivi CCM hakiwezi kufanya siasa zake katika uwepo wa CHADEMA. Kweli hiki chama ni DUME. Watarudisha safu hata ya wastaafu ambao muziki huu ni mkubwa kwao.
 
Kwa umri wake Tendwa na kuendelea kubaki madarakani wakati anatakiwa awe amestaafu unatarajia nini zaidi ya kujikomba CCM? Na kwakuwa hawaamini ktk kustaafu anataka wakimtoa hapo wakampe bodi awe mwenyekiti au mumbe.
 
Kwani hiki chama cha rangi kama majani ya MIGOMBA una uhakika nacho kuwa hakihusiki na kashfa za namna hiyo? Je ni CHADEMA tu mnawatishia au ni pamoja wa vyama vingine?
 
pasco

ya msajiri yanashangaza! yaani kwa ville chama kiko madarakani basi kinapata immunity kikitrenda kosa, haya kweli ni maajabu. pia nilifikiri utaratibu wa kufguta chama hauwezikuwa wa mtu mmoja. pamoja na kuwa yawezekana katika kesi fulani ikaonekana ushiriki wa viongozi wa chama hivho katika matendfo ya kihalifu lakini hawexi immediately hii kujustify yeye kufuta chama. chama ni taasisi na siyo viongozi tu. Mbona viongozi ndani ya serkali wakikosa huwajibika kama indivifuals na siyo serkali. ikijulina hii anapaswa kwenda tena mahakamani kutoa hoja za kukifuta chama. kwa hiyo hii prtocess haiwexi kuwa tofauti kati ya chama tawala na vyamavingine.
 
Sasa Pasco, yaani mda wote uliokaa na huyo mzee mkakosa vitu vya maana kabisa vya kujadili, mkaanza kujadili 'mambo yale yale'? Pasco wewe ni mwandishi wa habari, hebu pitia makabrasha yako utambie hii ilikuwa mara ya ngapi kwa Tendwa kuongelea 'uwezekenao wa kuifuta CHADEMA'?...

Ningekuwa mimi ndo nimapata nafasi ya kuongea na Tendwa, ningejitahidi nihakikishe maongezi yetu yanakuwa centered kwenye issue kama hiyo ya ukosefu wa sheria zinazokisimamia chama tawala, udhaifu wa sheria zinazompa raisi mamlaka makubwa, udhaifu wa sheria ya mabadiliko ya katiba....

Labda kiuchikozi kidogo ningemuuliza "Mzee, mbona umri wa kustaafu umeshafika lakini umeng'ang'ania ofisini? Kwa nini usiende nyumbani, akateuliwa mtu mwingine?

Anyway... I was joking Pasco... Najua siku hizi CHADEMA ndiyo stori ya mujini... Kuanzia baa, misikitini, makanisani, sokoni, barabarani, vilabuni, barabarani, redioni, tivini, magazetini, kwenye mitandao, sebuleni kwa watu, na hata vyumbani... Nape Nnauye mwenyewe siku hizi anapost kuhusu CHADEMA usiku wa manane... yaani akiwa na mkewe kitandani, mara anachukua iphone.... kala kala kala kala kala.... ili mradi ameandika chochote kuhusu CHADEMA..

Kwa kumbukumbu zangu siyo mara ya kwanza Tendwa anasema atafuta vyama vya siasa. Lakini si Tendwa huyu huyu aliyewahi kusema kuwa kutokana ushauri wa Wachili kule Arumeru Lema asionekana kule? Was this also bona fide? Tendwa simwamini kwa lo lote, na hata yeye anajua haaminiki.:gossip:
 
Nakumbuka CCM ilivyoisambaratisha NCCR-Mageuzi kwa miaka mitatu 1995-1997 chama kikawa kwisha habari.

Watu hujifunza kutokana na makosa, CHADEMA ina miaka 20.. CCM na makandokando yake (TANU, ASP etc) ina miaka 50 cha kushangaza ni kwamba bado CCM haina heshima kwamba upinzani umekomaa!
 
Here we are still in the dark, about the meaning of Bona-fide. but the expression
is lying in the one side, i am mean can be a lawful, legal and genuine to condemn
CHADEMA has a peace stubborn resistence. But when we go to other the side we
find that Tendwa is deceitful and false doing to undermine opposition parties in Tanzania.
 
Sasa Pasco, yaani mda wote uliokaa na huyo mzee mkakosa vitu vya maana kabisa vya kujadili, mkaanza kujadili 'mambo yale yale'? Pasco wewe ni mwandishi wa habari, hebu pitia makabrasha yako utambie hii ilikuwa mara ya ngapi kwa Tendwa kuongelea 'uwezekenao wa kuifuta CHADEMA'?...

Ningekuwa mimi ndo nimapata nafasi ya kuongea na Tendwa, ningejitahidi nihakikishe maongezi yetu yanakuwa centered kwenye issue kama hiyo ya ukosefu wa sheria zinazokisimamia chama tawala, udhaifu wa sheria zinazompa raisi mamlaka makubwa, udhaifu wa sheria ya mabadiliko ya katiba....

Labda kiuchikozi kidogo ningemuuliza "Mzee, mbona umri wa kustaafu umeshafika lakini umeng'ang'ania ofisini? Kwa nini usiende nyumbani, akateuliwa mtu mwingine?

Anyway... I was joking Pasco... Najua siku hizi CHADEMA ndiyo stori ya mujini... Kuanzia baa, misikitini, makanisani, sokoni, barabarani, vilabuni, barabarani, redioni, tivini, magazetini, kwenye mitandao, sebuleni kwa watu, na hata vyumbani... Nape Nnauye mwenyewe siku hizi anapost kuhusu CHADEMA usiku wa manane... yaani akiwa na mkewe kitandani, mara anachukua iphone.... kala kala kala kala kala.... ili mradi ameandika chochote kuhusu CHADEMA..

Nimeipenda hiyo ya Nape'
 
wafute waone kama patakalika itakuwa patashika si wanadhani ni kazi rahisi wajaribu kama wamevimbiwa hizo mali walizonazo.
 
Mzee wa bonafide (bonafide ni kijiji cha ujamaa kule Botswana...do ur homework teh..teh..teh), hivi huyu Tendwa mkataba wake ulishakuwa extended by DHAIFU? Niliwahi kusoma thread ikithibitisha kuwa Tendwa mkataba wake ulishaisha.

Tendwa au JK hawana ubavu wa kuifuta CHADEMA, najua walishafikiria hilo but waligundua kuwa hawana huo UBAVU. Wanaweza kufanya hivyo iwapo katiba ya Tanganyika inaruhusu wao kutoa hayo maamuzi wakiwa wanaishi uhamishoni.
 
Chama kinachofanya hivyo ni CCM chini ya Mwigulu. Msajili nadhani uzee umzidi wakati mwingine utadhani taahira!
 
...itawachukua ccm muda wao wote kuhangaika na chadema lakini never hawatafanikiwa kuiondoa chadema TZ.....nasema never.....Watapoteza pesa za walipa kodi na resources zoote wanazotafuna kupitia serikali hii kujaribu kuiua chadema lakini never hawatoweza....

..Watatumia vyomo vya dola kama wanavyofanya...na pia mahakama na majaji wao...lakini never hawatoweza kuiua chadema.....Chadema is a new hope for majority of Tanzanians sasa....huu ni ukweli mchungu sana sana kwa ccm ya JK....Hata wakiwamaliza viongozi wa chadema bado chadema itabaki pale pale......

Infact matendo ya ccm ya sasa tayari yanaonyesha kuwa ni ya chama pinzani...maana kila kukicha ni chadema...chadema ...chadema.....hii ina maana kuwa ccm kimeshaanza kuwa chama pinzani....wakiimba nyimbo za kukipinga chama (chadema)kinachotawala kwenye fikra za watanzania.......

.....njia pekee ya ccm na viongozi na wanyapara wao humu kuipinga chadema ni kuwaondolea umaskini uliokithiri watanzania....na si kuwafungulia makesi ya kipumbavu viongozi na wanachama wao....Hii ni kuzidi kuongeza chuki iliyokithiri miongoni mwa watanzania dhidi ya li ccm lililoooza......

.....Btw..siamini kama Tendwa anaweza kuwa na mawazo hayo ya kishenzi....maana kuifuta chadema pia itakua hatari ya yeye kuishi kwa amani nchi hii.....ukweli huu bado ccm na makuwadi wao hawajaujua....Naona hii thread imeanzishwa kizushi kupima joto la watu humu.....

..Kinachonishangaza sana kuhusu viongozi na manazi wa ccm ni kutokujifunza alama za nyakati.....haswa toka kwa vyama vichovu (kama ccm)vilivyowahi kutawala dola za nchi nyingine na vikaja kufa bila matarajio yao...mfano KANU ya Kenya....mawazo aliyokuwa nayo Moi na wanachama wake kabla KANu haijadondokea puia ni kama mawazo ya ccm na viongozi wao leo........

.....Ni suala la muda tu....
 
Kwa kumalizia, nilimuulizia kidogo kuhusu kuijua JF, akasema anaijua sana na anaisoma, ila anakerwa na watu ambao wao kazi yao ni kutukana tuu na kuchangia kwa lugha zisizo heshima na staha kwa viongozi wa taifa hili!.

Kauli kama hizi uwa zinatolewa na watu wajinga wasiojua wanaandika nini kwenye public. Hivi ukiandika kiti chenye mashiko nani atakutukana? Yani wewe kwa akili zako, unakuja na kauli kama hizi ili ukwepe matusi kwa ujinga wako? Unajificha kwenye kichaka cha huyo Tendwa huku ukifanya ujinga?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom