Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitita Cha mafao Kipo kwa mujibu wa Bima ya Afya kwa wote ya mwaka 2023..Hapa kuna mambo mawili mtoa mada usichanganye kuna BIMA YA AFYA KWA WOTE na KUNA KITITA CHA MAFAO CHA MWAKA 2023 .
Mgomo hautasaidia kitu, roho ya mtu haiwezi kurejesheka endapo kama itapotea.Wakimgusa ujue mgomo wa madaktari utaibuka palepale maana hii bima wataalamu walishaikataa❌
Kitita Cha mafao Kipo kwa mujibu wa Bima ya Afya kwa wote ya mwaka 2023..
Mkuu! Inabidi ukipitie au pitia sheria ya Bima 2023
Nop kiukweli kama umepitia Ile sheria ya Bima ya Afya kwa wote Inaenda kuwaumiza Sana wananchi kwahyo nahisi wameamua kutohusishwa ili kukwepa Lawama
Dah siamini kama haya maneno umeongea wewe leo..Ninaisihi sana serikali yetu isifanye mzaha kwenye suala la afya. Sasa bila afya njema hili taifa litajengwaje? Halafu hizi siasa za kusema tumejenga majengo ya hospitali, vituo vya afya na zahanati huku zikiwa hazina watumishi wa kutosha zifike mwisho kwa sababu zinakera. Serikali haishindwi kutoa ajira 50000 kwa mara moja kwenye sekta ya afya. Zile program zisizo na tija kama za Bashe zingepigwa chini pesa zielekezwe kwenye afya. Ili nchi isonge mbele lazima AFYA NA ELIMU zipewe kipaumbele na sio vinginevyo.
Nahisi wanalinda credibility yao pamoja na legacyWanaogopa bure tu mkuu unless wanalinda credibility na hadhi ya chama chao maana Tanzania ya Watanzania ni kama land of the dead.
Nje ya keyboard, hakuna vita inayoweza kufanyika labda machungu yakiongezwa sanaaaaa, watu watafufuka kama sio kujisogeza
Hili jambo halihitaji siasa. Afya inahusu wote bila kujali chama.Dah siamini kama haya maneno umeongea wewe leo..
🤝 Huu ndo ukomavu wa kisiasa tunaotaka sasa ukiwa na uwezo wa kusifia uwe na uwezo wa kushauri pia Kongole sana
Safi sana nimependa hii kwakweli 👏👏👏👏Hili jambo halihitaji siasa. Afya inahusu wote bila kujali chama.
Ulimboka Alipigwa Msukosuko Mpaka Kesho Hajasema KilichotokeaHuyo Rais wa MAT hajui wenzake wanatafuta Kura kwaajili ya Uchaguzi 2025.
Amuulize Dokta Ulimboka alichofanywa na hiyo hiyo Serikali alipojaribu kwenda kinyume nao.
Ajue anaishi na kufanya kazi Nchi ya Giza hii 🤗
Hahahaha.........wale watu wanatisha Mkuu, hata Msanii Roma hadi leo hii hakuwahi kusema waliomteka na kumtesa ni akina nani?Ulimboka Alipigwa Msukosuko Mpaka Kesho Hajasema Kilichotokea
Inawezekana wanaokutana nao ni watu ambao huenda ni very High profile na wanawaonyesha Jinsi wanavyoweza kucheza na Gavo..Hahahaha.........wale watu wanatisha Mkuu, hata Msanii Roma hadi leo hii hakuwahi kusema waliomteka na kumtesa ni akina nani?
Nenda umuulize hata Tajiri Mo Dewji kama naye aliweza kuwataja
Hatari 🙌
Nope, usichanganye. Mabadiliko yalitakiwa tangu 2019 ikasitishwa kwaajili ya uchaguzi na 2021 yakasitishwa kwaajili ya uzinduzi wa mwongozo mpya wa matibabu yaliyofanyika mwaka huo. Usikariri! Usiembed kila kitu na tukio la wakati husika utatoa taarifa isiyo sahihi. Kumbuka mwaka jana actually this year ili leak ila wakaikana so tuache kukariri. Miongozo ya bima ya afya kwa wote bado inatungwa kwasababu itacut across kila aina ya bima iwe ya serikari au private tusome sheria ya bima ya afya kwawote kwanza.Kitita Cha mafao Kipo kwa mujibu wa Bima ya Afya kwa wote ya mwaka 2023..
Mkuu! Inabidi ukipitie au pitia sheria ya Bima 2023
Nashukuru unaelewa hili maana mtanzania ataamini maneno ila hakuna kitu utaainishwa umeshiriki serikarini pasipo wewe kuweka saini.Wanaogopa bure tu mkuu unless wanalinda credibility na hadhi ya chama chao maana Tanzania ya Watanzania ni kama land of the dead.
Nje ya keyboard, hakuna vita inayoweza kufanyika labda machungu yakiongezwa sanaaaaa, watu watafufuka kama sio kujisogeza
Mabadiliko yapi hayo unazungumzia Sheria ya bima ya Afya imeshasainiwa Rasmi na Rais mwaka huu na ilisitishwa kwa sababu haikukidhi vigezo na walioirudisha ni Wabunge..Nope, usichanganye. Mabadiliko yalitakiwa tangu 2019 ikasitishwa kwaajili ya uchaguzi na 2021 yakasitishwa kwaajili ya uzinduzi wa mwongozo mpya wa matibabu yaliyofanyika mwaka huo. Usikariri! Usiembed kila kitu na tukio la wakati husika utatoa taarifa isiyo sahihi. Kumbuka mwaka jana actually this year ili leak ila wakaikana so tuache kukariri. Miongozo ya bima ya afya kwa wote bado inatungwa kwasababu itacut across kila aina ya bima iwe ya serikari au private tusome sheria ya bima ya afya kwawote kwanza.
Ila Sasa madaktari walioshirikinkutoa maoni kuanzia pale NHIF wizarani na kwenye hospitali zanumma na binafsi ni WANACHAMA wa Chama Cha madaktariTell them to stop this 😭😭😭
Kuna Vitu watu wanavichanganya Sana Chama cha Madaktari (MAT) na Baraza la madaktari (MCT)..Ila Sasa madaktari walioshirikinkutoa maoni kuanzia pale NHIF wizarani na kwenye hospitali zanumma na binafsi ni WANACHAMA wa Chama Cha madaktari