Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) Chapinga kushirikishwa katika Mchakato Mzima wa Maoni ya "Bima Ya Afya kwa wote" Kama serikali ilivyosema

Nchi yetu inavyoenda kama kuku aliyekatwa shingo. Moja haikai mbili haisimami. Inachosha na kukera sana hii nchi
 
Ninaisihi sana serikali yetu isifanye mzaha kwenye suala la afya. Sasa bila afya njema hili taifa litajengwaje? Halafu hizi siasa za kusema tumejenga majengo ya hospitali, vituo vya afya na zahanati huku zikiwa hazina watumishi wa kutosha zifike mwisho kwa sababu zinakera. Serikali haishindwi kutoa ajira 50000 kwa mara moja kwenye sekta ya afya. Zile program zisizo na tija kama za Bashe zingepigwa chini pesa zielekezwe kwenye afya. Ili nchi isonge mbele lazima AFYA NA ELIMU zipewe kipaumbele na sio vinginevyo.
 
Nop kiukweli kama umepitia Ile sheria ya Bima ya Afya kwa wote Inaenda kuwaumiza Sana wananchi kwahyo nahisi wameamua kutohusishwa ili kukwepa Lawama

Wanaogopa bure tu mkuu unless wanalinda credibility na hadhi ya chama chao maana Tanzania ya Watanzania ni kama land of the dead.

Nje ya keyboard, hakuna vita inayoweza kufanyika labda machungu yakiongezwa sanaaaaa, watu watafufuka kama sio kujisogeza
 
Ninaisihi sana serikali yetu isifanye mzaha kwenye suala la afya. Sasa bila afya njema hili taifa litajengwaje? Halafu hizi siasa za kusema tumejenga majengo ya hospitali, vituo vya afya na zahanati huku zikiwa hazina watumishi wa kutosha zifike mwisho kwa sababu zinakera. Serikali haishindwi kutoa ajira 50000 kwa mara moja kwenye sekta ya afya. Zile program zisizo na tija kama za Bashe zingepigwa chini pesa zielekezwe kwenye afya. Ili nchi isonge mbele lazima AFYA NA ELIMU zipewe kipaumbele na sio vinginevyo.
Dah siamini kama haya maneno umeongea wewe leo..
🤝 Huu ndo ukomavu wa kisiasa tunaotaka sasa ukiwa na uwezo wa kusifia uwe na uwezo wa kushauri pia Kongole sana
 
Wanaogopa bure tu mkuu unless wanalinda credibility na hadhi ya chama chao maana Tanzania ya Watanzania ni kama land of the dead.

Nje ya keyboard, hakuna vita inayoweza kufanyika labda machungu yakiongezwa sanaaaaa, watu watafufuka kama sio kujisogeza
Nahisi wanalinda credibility yao pamoja na legacy
 
Huyo Rais wa MAT hajui wenzake wanatafuta Kura kwaajili ya Uchaguzi 2025.

Amuulize Dokta Ulimboka alichofanywa na hiyo hiyo Serikali alipojaribu kwenda kinyume nao.

Ajue anaishi na kufanya kazi Nchi ya Giza hii 🤗
Ulimboka Alipigwa Msukosuko Mpaka Kesho Hajasema Kilichotokea
 
Hahahaha.........wale watu wanatisha Mkuu, hata Msanii Roma hadi leo hii hakuwahi kusema waliomteka na kumtesa ni akina nani?

Nenda umuulize hata Tajiri Mo Dewji kama naye aliweza kuwataja

Hatari 🙌
 
Inawezekana wanaokutana nao ni watu ambao huenda ni very High profile na wanawaonyesha Jinsi wanavyoweza kucheza na Gavo..
So lazma uogope
 
Kitita Cha mafao Kipo kwa mujibu wa Bima ya Afya kwa wote ya mwaka 2023..

Mkuu! Inabidi ukipitie au pitia sheria ya Bima 2023
Nope, usichanganye. Mabadiliko yalitakiwa tangu 2019 ikasitishwa kwaajili ya uchaguzi na 2021 yakasitishwa kwaajili ya uzinduzi wa mwongozo mpya wa matibabu yaliyofanyika mwaka huo. Usikariri! Usiembed kila kitu na tukio la wakati husika utatoa taarifa isiyo sahihi. Kumbuka mwaka jana actually this year ili leak ila wakaikana so tuache kukariri. Miongozo ya bima ya afya kwa wote bado inatungwa kwasababu itacut across kila aina ya bima iwe ya serikari au private tusome sheria ya bima ya afya kwawote kwanza.
 
Wanaogopa bure tu mkuu unless wanalinda credibility na hadhi ya chama chao maana Tanzania ya Watanzania ni kama land of the dead.

Nje ya keyboard, hakuna vita inayoweza kufanyika labda machungu yakiongezwa sanaaaaa, watu watafufuka kama sio kujisogeza
Nashukuru unaelewa hili maana mtanzania ataamini maneno ila hakuna kitu utaainishwa umeshiriki serikarini pasipo wewe kuweka saini.
 
Nope, usichanganye. Mabadiliko yalitakiwa tangu 2019 ikasitishwa kwaajili ya uchaguzi na 2021 yakasitishwa kwaajili ya uzinduzi wa mwongozo mpya wa matibabu yaliyofanyika mwaka huo. Usikariri! Usiembed kila kitu na tukio la wakati husika utatoa taarifa isiyo sahihi. Kumbuka mwaka jana actually this year ili leak ila wakaikana so tuache kukariri. Miongozo ya bima ya afya kwa wote bado inatungwa kwasababu itacut across kila aina ya bima iwe ya serikari au private tusome sheria ya bima ya afya kwawote kwanza.
Mabadiliko yapi hayo unazungumzia Sheria ya bima ya Afya imeshasainiwa Rasmi na Rais mwaka huu na ilisitishwa kwa sababu haikukidhi vigezo na walioirudisha ni Wabunge..

Wewe aliekudanganga Kuhusu haya yote unayoongea ni nani?

Sheria mara ya kwanza ilupelekwa mwaka 2022 na ilikataliwa na kamati ya bunge na Bunge wakasema bado inaukakasi kuhusu Mapato na baadhi ya sehemu!..

Miongozo yote Hutoka baada ya Sheria kupita wewe unazungumzia sheria zipi?
Na miongozo ipi?

Sio kila mara Tutetee Vitu hata kama havina uhalisia unafikri Chama cha madaktari hawana akili kutoa Maelezo bila wao kusoma?

Nimeisoma bima ya afya ikiwa mswada tangu mwaka 2022 na hata marekebisho yake na kuwa sheria mwaka 2023 na nilianzisha uzi humu!

AU unataka tuchambue makosa ya Miongozo na Bima hadharani?
 
Ila Sasa madaktari walioshirikinkutoa maoni kuanzia pale NHIF wizarani na kwenye hospitali zanumma na binafsi ni WANACHAMA wa Chama Cha madaktari
Kuna Vitu watu wanavichanganya Sana Chama cha Madaktari (MAT) na Baraza la madaktari (MCT)..
kingine huwezi ukahoji Madaktari halafu ukaconclude waliojibu ni MAT...

Kwa mfano siwezi nikaenda kuhoji wananchi zaidi ya 200 Kwakuwa tu ni wanachama wa CCM nikaconclude kuwa CCM niluwahoji na wakajibu kitu fulani!
Hatuendi hivyo kiprotocali
 
Back
Top Bottom