Chama cha majobless naombeni mnipe URAIS huyu wa sasa hatufai

Chama cha majobless naombeni mnipe URAIS huyu wa sasa hatufai

Muimba SINGELI

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
4,211
Reaction score
10,864
JINA: Kijana Masikini
SIFA: Nimewahi kumiliki hela za kutosha.

kwanini aliyopo hatufai?
1. Hana nidhamu ya utu wala nidhamu ya pesa.
(ushahidi ni ban alopewa jana)

2. Sio mbunifu.
Akili imekorogeka na unywaji gongo kupita kiasi hivyo hawazi kitu kipya cha maana cha kuwatoa Jobless katika hatua moja kuwapeleka pengine.
(Ushahidi, aliwahi kuwatafutia dili eti mkapigane na sokwe ili mpate milioni tatu)
Hadi hapa mnaona kwamba kwenye kichwa cha huyu mtu kuna kitu kimekaa nafasi ya ubongo.

Kama kijana masikini nitaungwa mkono hadi kuwa rais wa chama wanachama wote baada ya muda mchache mtakula kuku kwa mrija.

secretarybird naomba ukiwa huru siku yoyote uandae uzi wa kura za maoni ama uchaguzi kabisa.
Asanteni.
 
Back
Top Bottom