BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Huo ni uhaini subiri mpaka muda wake uishe 2030!Ifanyike namna yoyote ila huyu mtu atoke kitini.
Huo ni uhaini subiri mpaka muda wake uishe 2030!Ifanyike namna yoyote ila huyu mtu atoke kitini.
Upo unakusanya endorsment kabla ya uchaguzi? Umekuwa wallace.....Ameen, ila bwana Dennis Robert Shughuru mtoe hapo yeye anaitaka nchi.
utaweza kushinda na kukesha jf? kulala ni lisaa limoja tu.kamahutaweza muachie rais wa sasa aendeleeJINA: Kijana Masikini
SIFA: Nimewahi kumiliki hela za kutosha.
kwanini aliyopo hatufai?
1. Hana nidhamu ya utu wala nidhamu ya pesa.
(ushahidi ni ban alopewa jana)
2. Sio mbunifu.
Akili imekorogeka na unywaji gongo kupita kiasi hivyo hawazi kitu kipya cha maana cha kuwatoa Jobless katika hatua moja kuwapeleka pengine.
(Ushahidi, aliwahi kuwatafutia dili eti mkapigane na sokwe ili mpate milioni tatu)
Hadi hapa mnaona kwamba kwenye kichwa cha huyu mtu kuna kitu kimekaa nafasi ya ubongo.
Kama kijana masikini nitaungwa mkono hadi kuwa rais wa chama wanachama wote baada ya muda mchache mtakula kuku kwa mrija.
secretarybird naomba ukiwa huru siku yoyote uandae uzi wa kura za maoni ama uchaguzi kabisa.
Asanteni.
Mkuu tutafika tukiwa na jasho hadi kwenye nyayo aondolewe tu huyu bila kujali hilo.Huo ni uhaini subiri mpaka muda wake uishe 2030!
I still repeatna mki shindwa nita wageuza wasaidizi wangu mortuary
Naweza bila shaka yoyote mkuu.utaweza kushinda na kukesha jf? kulala ni lisaa limoja tu.kamahutaweza muachie rais wa sasa aendelee
Yaah ni lazima kusimamia asije leta figisu huyu aliopo.Upo unakusanya endorsment kabla ya uchaguzi? Umekuwa wallace.....
Utakutana na wahuni wa mtaa wa jangwan na msimbaziYaah ni lazima kusimamia asije leta figisu huyu aliopo.
Utakutana na wahuni wa mtaa wa jangwan na msimbazi
mkuu na kombolela mnachek. Safi kabsaJamaa yule mwenye tumbo kubwa kwenye tamthilia ya KOMBOLELA,Azam tv
Hapana mkuu nikinusa harufu ya mafanikio wakati nikiwa Rais nitahakikisha ninayasambaza mafanikio hayo kwa wanachama wangu wote.Shida unaomba uongozi ukiwa kapuku tukikupa kura unaanza kuji-mwambafy unajiita TAJIRI SINA BAYA
chukua hzo endorsment kihorela utakutana na jopo la mawakili wa jf wakiongozwa na secretarybirdSija kuelewa hapa
😂😂😂chukua hzo endorsment kihorela utakutana na jopo la mawakili wa jf wakiongozwa na secretarybird
Lazima akubali maana hii nafasi ni nyeti.Sio mbaya mkuu tuone kama ataikubali hiyo nafasi.
Hahaha 😂😂chukua hzo endorsment kihorela utakutana na jopo la mawakili wa jf wakiongozwa na secretarybird
sawa nitafanya nae kazi.Lazima akubali maana hii nafasi ni nyeti.
Tusubiri matokeo sasasawa nitafanya nae kazi.
👍Tusubiri matokeo sasa
Kwa Sasa wewe ni maskini na hatuwezi kuvunja katiba ya chama chetuMkuu tutafika tukiwa na jasho hadi kwenye nyayo aondolewe tu huyu bila kujali hilo.