Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
- Thread starter
- #21
Ni wazo zuri maana msimu wa kuandaa mashamba unakaribia, tunaweza kufanya hii huku Mr president nikisuka mipango thabiti.Tukang'oe visiki mashambani
Ni wazo zuri maana msimu wa kuandaa mashamba unakaribia, tunaweza kufanya hii huku Mr president nikisuka mipango thabiti.Tukang'oe visiki mashambani
Huyu Kumbe ameshalamba ajira tayari.. Basi aachie ngaziYupo kibaruan kwake huko MORTUARY
Ina onyesha toka nikupe hilo jina, basi lime kuuma sana 😂 😂.Huyu wa sasa amekuwa POPOMA MWITU
waache waruke ruke hovyo, niki piga kikao wata tafutanaNaona Unatafuta ugomvi na Intelligent businessman
tetesi tu hizo, hakuna aliye na ajiraHuyu Kumbe ameshalamba ajira tayari.. Basi aachie ngazi
President karamba teuzi mortuaryMungu nifundishe kunyamaza
Hiki ni chama changu, wengine kabebeni ndizi mabiboPresident karamba teuzi mortuary
Mkuu ukishinda hiyo nafasi Dennis Robert Shughuru awe makamu wako, waziri mkuu awe Monetary doctor.JINA: Kijana Masikini
SIFA: Nimewahi kumiliki hela za kutosha.
kwanini aliyopo hatufai?
1. Hana nidhamu ya utu wala nidhamu ya pesa.
(ushahidi ni ban alopewa jana)
2. Sio mbunifu.
Akili imekorogeka na unywaji gongo kupita kiasi hivyo hawazi kitu kipya cha maana cha kuwatoa Jobless katika hatua moja kuwapeleka pengine.
(Ushahidi, aliwahi kuwatafutia dili eti mkapigane na sokwe ili mpate milioni tatu)
Hadi hapa mnaona kwamba kwenye kichwa cha huyu mtu kuna kitu kimekaa nafasi ya ubongo.
Kama kijana masikini nitaungwa mkono hadi kuwa rais wa chama wanachama wote baada ya muda mchache mtakula kuku kwa mrija.
secretarybird naomba ukiwa huru siku yoyote uandae uzi wa kura za maoni ama uchaguzi kabisa.
Asanteni.
na mki shindwa nita wageuza wasaidizi wangu mortuaryMkuu ukishinda hiyo nafasi Dennis Robert Shughuru awe makamu wako, waziri mkuu awe Monetary doctor.
Mimi nitakuwa mwenyekiti wa uchaguzi nikisaidiwa na Dr am 4 real PhD.
Kampeni njema.
Mkuu tunataka kukutoa kwenye hiki cheo maana unaleta udikteta madarakani kwa mfano jana ulimtandika ngumi za kutosha Half american hadi sasa hivi hatujui hali yake.na mki shindwa nita wageuza wasaidizi wangu mortuary
Ameen, ila bwana Dennis Robert Shughuru mtoe hapo yeye anaitaka nchi.Mkuu ukishinda hiyo nafasi Dennis Robert Shughuru awe makamu wako, waziri mkuu awe Monetary doctor.
Mimi nitakuwa mwenyekiti wa uchaguzi nikisaidiwa na Dr am 4 real PhD.
Kampeni njema.
😂😂😂 📌🔨Hiki chama ni mwendo wa kupinduana tu we anza kujiita Rais na sisi tutafuata
Basi namweka Half american awe makamu ili alipize kiasi ya cha kuporomoshewa kichapo heavy na prezidaa wa sasa.Ameen, ila bwana Dennis Robert Shughuru mtoe hapo yeye anaitaka nchi.
Sio mbaya mkuu tuone kama ataikubali hiyo nafasi.Basi namweka Half american awe makamu ili alipize kiasi ya cha kuporomoshewa kichapo heavy na prezidaa wa sasa.
Sio tumbo kubwa sema "Sura personal"Jamaa yule mwenye tumbo kubwa kwenye tamthilia ya KOMBOLELA,Azam tv
Ifanyike namna yoyote ila huyu mtu atoke kitini.Shida ni kwamba fomu ipo moja tu
au unataka tukanyage katiba ya chama!