Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Ni nini/nani huyu mkuu?Kobisi?
Jamaa yule mwenye tumbo kubwa kwenye tamthilia ya KOMBOLELA,Azam tvNi nini/nani huyu mkuu?
Kwa hali aliyofukia huyu jamaa hakuna cha kukisubiri mkuu nipewe tu usukani.HUWEZI KUPEWA PEWA tu mpaka zifanyike reforms!
Ahaa simfahamu lakini hawezi kupambana na mimi ninapolihitaji jambo.Jamaa yule mwenye tumbo kubwa kwenye tamthilia ya KOMBOLELA,Azam tv
πππ πUmepita mkuu. Mitano tena. Hakuna kipengele, unipe uwaziri sasa, nina uzoefu wa kukamatwa na polisi kwa kesi za uzurulaji.
Nashukuru umelitambua hili mkuu.Huyu wa sasa amekuwa POPOMA MWITU
Asante mh. Rais mtarajiwa. Sasa ngoja niingie kazini kukupigia kampeni, wasiotuunga mkono tuwapoteze au tunafanyaje mh.πππ π
umeupata kiongozi, utakuwa waziri wa hamasa na mikiki mikiki.
Hapana mkuu, siko hapa kutafuta ugomvi na mtu yeyote, bali kukikomboa chama cha majobless.Naona Unatafuta ugomvi na Intelligent businessman
Kila la kheriHapana mkuu, siko hapa kutafuta ugomvi na mtu yeyote, bali kukikomboa chama cha majobless.
Hapana mkuu waache ili waone mafanikio yetu.Asante mh. Rais mtarajiwa. Sasa ngoja niingie kazini kukupigia kampeni, wasiotuunga mkono tuwapoteze au tunafanyaje mh.
πKila la kheri
Yupo kibaruan kwake huko MORTUARYNaona Unatafuta ugomvi na Intelligent businessman