Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
nafsi yangu mimi ilivyo ni ya ajabu sana, nikisha turn off setting za internet basi imeisha hiyo.Jaribu kuwa na mahusiano mazuri na nafsi yako. Wazinguaji wapo tu na hawataisha tu.
Kingine ume ongea sijui kuhusu lee, uli taka nimjibu nini sasa?.
nimwambie yap, kanunue bunduki Kisha itumie tena kwa nyuzi ya aina ile?.
acha zako bhana, next time mwambie I don't give a shit Kuhusu yeye.
since day one ana jua nilivyo, I cared a lot about her.
Kama una jali, aki kosea narekebisha, who the hell you're kuja kumsemea why asije yeye 🤔😂😂