Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Jifunzeni kujinenea mema.....the universe is listening.
Kumbe una kazi kaka hongera😃😃😃Kilimo muhimu ngoja niwah kil¡mo
Hahhahahaa nimekuelewa mkuu, ondoa shakaNisamehe Makamu Mafaili yalikuwa Mengi nikakusahau😃
Kijana njoo mjini Taratibu, umeaga kwenu huko masumbwe ??Naona bwana king'ang'a anasambaza propaganda zilizokosa kichwa miguu wala shingo.
kwa watu makini majibu ya propaganda yake wanayapata kwenye uzi wangu nilipoainisha sifa zangu.
nilisema hivi.👇
2. Nimewahi kumiliki hela za kutosha.
Kwa maana hii basi natambua kiburi na jeuri ya pesa hivyo siwezi kutenda kosa lolote pindi chama kikipiga hatua za kimaendeleo, sio kama huyu king'ang'a ambae amepata kibarua cha kujitolea Monchwari tu anaanza kutishia wanaume wote kwamba hawatobaki salama majobless wakiwamo.
Nipeni kura za kutosha Kijana Masikini ambae nina uzoefu wa kutosha wa mafanikio.
Bila shaka kiongozi nipo full nondo.Kijana njoo mjini Taratibu, umeaga kwenu huko masumbwe ??
Atakuwa hajala huyu kijana njaa inamsumbua !!!!Hivi huyu aliye kitukana chama na viongozi wake,miksa kutu tishia kutupoteza.
Ndio ana utaja u jobless pro max?, labda ndotoni mwake.
au awe. Omba omba wa wagogo fc
Selikavu, Smooth Criminal, dosho12, Dr am 4 real PhD, secretarybird, Monetary doctor, BLACKTIGER, Razorblade, Thecoder, Edo kissy Harmful
View attachment 3397745
Nasikia na nimeona una mpango wa kufuta chama,Bila shaka kiongozi nipo full nondo.
Najua itakuwa ni ngumu kunielewa kama bwana Dennis Robert Shughuru ila tutafika tu.Nasikia na nimeona una mpango wa kufuta chama,
Kafute umaskini kwanza, kijana wa hovyo,
SahauNajua itakuwa ni ngumu kunielewa kama bwana Dennis Robert Shughuru ila tutafika tu.
Naona bwana king'ang'a anasambaza propaganda zilizokosa kichwa miguu wala shingo.
kwa watu makini majibu ya propaganda yake wanayapata kwenye uzi wangu nilipoainisha sifa zangu.
nilisema hivi.
Hii ina maana uki zipata hela, uta anza kututukana hovyo na kuto kiheshimu chama.Naona bwana king'ang'a anasambaza propaganda zilizokosa kichwa miguu wala shingo.
kwa watu makini majibu ya propaganda yake wanayapata kwenye uzi wangu nilipoainisha sifa zangu.
nilisema hivi.👇
2. Nimewahi kumiliki hela za kutosha.
Kwa maana hii basi natambua kiburi na jeuri ya pesa hivyo siwezi kutenda kosa lolote pindi chama kikipiga hatua za kimaendeleo, sio kama huyu king'ang'a ambae amepata kibarua cha kujitolea Monchwari tu anaanza kutishia wanaume wote kwamba hawatobaki salama majobless wakiwamo.
Nipeni kura za kutosha Kijana Masikini ambae nina uzoefu wa kutosha wa mafanikio.
Naona bwana king'ang'a anasambaza propaganda zilizokosa kichwa miguu wala shingo.Hii ina maana uki zipata hela, uta anza kututukana hovyo na kuto kiheshimu chama.
View attachment 3397879
Dooh Intel kuna msemo huwa unasema jawabu la upole hutuliza hasira, sometimes Jifunze kumjibu mtu kwa njia nzuri sio kwa ujeuri hata kama utaona ana ku snitchHiyo ni mbinu ya kuwajua ma snitch jukwaani
Kachanganyikiwa huyo 😂🤣
Aje ajibu huku imekuwaje😂Kachanganyikiwa huyo 😂🤣
Sasa nime mjibu nani jeuri 🤔, maana Mad Max ni mwanangu kiroho safi.Dooh Intel kuna msemo huwa unasema jawabu la upole hutuliza hasira, sometimes Jifunze kumjibu mtu kwa njia nzuri sio kwa ujeuri hata kama utaona ana ku snitch