Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Pamoja kaka, ngoja nivizie wi-fi ya jirani kabla haija zimwaMuhimu mzee. All in all happy you r back kamanda.
Pamoja kaka, ngoja nivizie wi-fi ya jirani kabla haija zimwaMuhimu mzee. All in all happy you r back kamanda.
Me kama Boni yai mzee natetea maslahi ya chamaMsimamizi wa haki? na tunajua upo madarakani chini ya uteuzi wa Mr. Ban, nikuibie siri tu huyo maskini jeuri akipita anaingia na benchi jingine kabisa
😃AseeeeMkuu jitahidi sana kusoma uelekeo wa mambo, ukiniwekea vizingiti vingi utajata baadae wakati nguzo yako imedondoka.
Ukimaanisha baada ya miaka mitano kupita??Nitaludi siku uchaguzi..
Hatutaki kazi yoyote ata ya kuandaa katiba ni kazi ipo against philosophy ya chama😃😃rais wa ma jobless hajaanda katiba ya chama
Kumbe kuna Risiti Kijana maskini ni Mamluki🤣🤣Hivi huyu aliye kitukana chama na viongozi wake,miksa kutu tishia kutupoteza.
Ndio ana utaja u jobless pro max?, labda ndotoni mwake.
au awe. Omba omba wa wagogo fc
Selikavu, Smooth Criminal, dosho12, Dr am 4 real PhD, secretarybird, Monetary doctor, BLACKTIGER, Razorblade, Thecoder, Edo kissy Harmful
View attachment 3397745
Tunapoteza Energy kubishana na Newbie kwel😃😃Una taka uraisi wa chama gani?, au chana cha omba omba fc?,
maana nakumbuka uli kikana chama Cha ma jobless pro max.
ukasema hukijui kabisa, au we ni mwehu tuka kupime milembe ehh?
dosho12, Thecoder, Selikavu, BLACKTIGER, Smooth Criminal, Mbaga Jr, Razorblade, Dr am 4 real PhD, Monetary doctor, makutupora, Edo kissy, Harmful View attachment 3397746
Kuraa ni siriii for sure woteeee hawana bayaa.Kwa maana hiyo, kura yako utampa nani?
😁😁😁😆😃 Balaa sanaaPoll pekee ambayo tutaitisha ni ya kumtoa Kijana maskini Uanachama😃
Tunafanyaje sasa maana nilisema huu ni UHAINI!Kumbe hata chama hakijui aisee, huu ni uhaini
Dah kipindi yupo tajiri!Hivi huyu aliye kitukana chama na viongozi wake,miksa kutu tishia kutupoteza.
Ndio ana utaja u jobless pro max?, labda ndotoni mwake.
au awe. Omba omba wa wagogo fc
Selikavu, Smooth Criminal, dosho12, Dr am 4 real PhD, secretarybird, Monetary doctor, BLACKTIGER, Razorblade, Thecoder, Edo kissy Harmful
View attachment 3397745
Huyu lazima afukuzwe au achapwe bakora ki sawa sawaTunafanyaje sasa maana nilisema huu ni UHAINI!
Huyu kashakuwa mwehu kudadadekiDah kipindi yupo tajiri!
Naam atakaye kuwa ana mpikia chai raisi wa ma jobless pro maxFirst Lady
Si bora mi nili toa mchongo, wewe uli jitoa ubongoView attachment 3397804View attachment 3397805
Afya ya akili, Afya ya akili, Afya ya akili.
Utang'oka tu.
Naam [emoji1]Hakuna mbinu nyingine zaidi ya bahasha iliyotuna kwa wajumbe kudadeek!
Huyu tuna mbandua kitini bila reforms.Umesahau kuwa No reform no election mkuu