Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
- Thread starter
- #141
Anajipigia tu rasilimali anavyotaka, huyu ni wakutolewa kwa mikwaju kabisa.rais wa ma jobless hajaanda katiba ya chama
Anajipigia tu rasilimali anavyotaka, huyu ni wakutolewa kwa mikwaju kabisa.rais wa ma jobless hajaanda katiba ya chama
Amesema bahasha atatoa baada ya uchaguzi, dah jobless ni shida, anatukopa mpaka rushwa?Shida wote ni majobless yule anaetaka kumpindua Rais naye ni maskini kwa sasa yani
MISH MASH!
Mkuu mitano tena, bado hujapata mpinzani aliye-seriousHalafu aanze kuita watu masikini
Pamoja kiongozi kura yako ni muhimu sana kwangu.Nitaludi siku ya uchaguzi..
Ndo mana namkubari Rais wa zamani Ila bila bahasha Maskini hatoboi!Amesema bahasha atatoa baada ya uchaguzi, dah jobless ni shida, anatukopa mpaka rushwa?
Ayaaaa alishawahi kutukana chama??? Wanachama Tusikitike dakika moja kwanzaHivi huyu aliye kitukana chama na viongozi wake,miksa kutu tishia kutupoteza.
Ndio ana utaja u jobless pro max?, labda ndotoni mwake.
au awe. Omba omba wa wagogo fc
Selikavu, Smooth Criminal, dosho12, Dr am 4 real PhD, secretarybird, Monetary doctor, BLACKTIGER, Razorblade, Thecoder, Edo kissy
View attachment 3397745
Pamoja sana mkuuNdo mana namkubari Rais wa zamani Ila bila bahasha Maskini hatoboi!
Niki waambia huyu masikini ni mwehu, muwe mna elewaKumbe hata chama hakijui aisee, huu ni uhaini
hafai kabisaAyaaaa alishawahi kutukana chama??? Wanachama Tusikitike dakika moja kwanza
Dah tusamehe sana rais wetu, yule mwehu amekuporezea mda wako kumjibu, muda ambao ungeutumia kuwa joblessNiki waambia huyu masikini ni mwehu, muwe mna elewa
Anataka kuwa Raisi wa chama ambacho hakijui 😅, Kijana Masikini hapa ulijichanganya ndugu yangu 😆Una taka uraisi wa chama gani?, au chana cha omba omba fc?,
maana nakumbuka uli kikana chama Cha ma jobless pro max.
ukasema hukijui kabisa, au we ni mwehu tuka kupime milembe ehh?
dosho12, Thecoder, Selikavu, BLACKTIGER, Smooth Criminal, Mbaga Jr, Razorblade, Dr am 4 real PhD, Monetary doctor, makutupora, Edo kissy, Harmful View attachment 3397746
Kwa sasa wewe ndo RAIS mpaka 2030 Labda kijana masikini aje na hoja NZITO!Una taka uraisi wa chama gani?, au chana cha omba omba fc?,
maana nakumbuka uli kikana chama Cha ma jobless pro max.
ukasema hukijui kabisa, au we ni mwehu tuka kupime milembe ehh?
dosho12, Thecoder, Selikavu, BLACKTIGER, Smooth Criminal, Mbaga Jr, Razorblade, Dr am 4 real PhD, Monetary doctor, makutupora, Edo kissy, Harmful View attachment 3397746
Asante sana mkuu, watu hawajui raha ya u jobless ni muda, halafu huyu ana sumbua hovyo.Dah tusamehe sana rais wetu, yule mwehu amekuporezea mda wako kumjibu, muda ambao ungeutumia kuwa jobless
Asante sana mwanachama mtiifu wa chama Cha ma jobless pro maxKwa sasa wewe ndo RAIS mpaka 2030 Labda kijana masikini aje na hoja NZITO!
Hii haina comeback kudadadekiAnataka kuwa Raisi wa chama ambacho hakijui 😅, Kijana Masikini hapa ulijichanganya ndugu yangu 😆
Ah huyu hatufai, huyu ni msaliti mana siku akija kupata kazi hata ya kusafisha kucha za wadada atakuja kutukataa Sisi joblessUna taka uraisi wa chama gani?, au chana cha omba omba fc?,
maana nakumbuka uli kikana chama Cha ma jobless pro max.
ukasema hukijui kabisa, au we ni mwehu tuka kupime milembe ehh?
dosho12, Thecoder, Selikavu, BLACKTIGER, Smooth Criminal, Mbaga Jr, Razorblade, Dr am 4 real PhD, Monetary doctor, makutupora, Edo kissy, Harmful View attachment 3397746
Inasikitisha sana mkuu 😭Ayaaaa alishawahi kutukana chama??? Wanachama Tusikitike dakika moja kwanza