Chama cha majobless naombeni mnipe URAIS huyu wa sasa hatufai

Chama cha majobless naombeni mnipe URAIS huyu wa sasa hatufai

Mkuu kama ukiona huwezi kufata sheria basi milango ipo wazi unaweza ukatoka ukaanzisha chama chako cha watu Tuliowai kutajirika tukaja kufilisika😃😃
Mkuu jitahidi sana kusoma uelekeo wa mambo, ukiniwekea vizingiti vingi utajata baadae wakati nguzo yako imedondoka.
 
Back
Top Bottom