Chama cha majobless naombeni mnipe URAIS huyu wa sasa hatufai

Hakuna wa kukugusa mkuu wewe tia nia tu.

Huyu aliyekula ban jana kapoteza sifa nyingi sana, kwanza ni mnafiki, anakuwaje jobless na anajiita businessman?

Anyway, swali langu ni "utatumia mbinu gani kuhakikisha tunabaki kuwa majobless?"
😂😂😂 hii ni miongoni mwa changamoto zinazo nikabili, kwa heshima zote niombe muda nitakuja na jibu zuri la hili swali.
 
Hakuna wa kukugusa mkuu wewe tia nia tu.

Huyu aliyekula ban jana kapoteza sifa nyingi sana, kwanza ni mnafiki, anakuwaje jobless na anajiita businessman?

Anyway, swali langu ni "utatumia mbinu gani kuhakikisha tunabaki kuwa majobless?"
Hakuna mbinu nyingine zaidi ya bahasha iliyotuna kwa wajumbe kudadeek!
 
Back
Top Bottom