Chama cha majobless naombeni mnipe URAIS huyu wa sasa hatufai

Chama cha majobless naombeni mnipe URAIS huyu wa sasa hatufai

Una taka uraisi wa chama gani?, au chana cha omba omba fc?,
maana nakumbuka uli kikana chama Cha ma jobless pro max.

ukasema hukijui kabisa, au we ni mwehu tuka kupime milembe ehh?

dosho12, Thecoder, Selikavu, BLACKTIGER, Smooth Criminal, Mbaga Jr, Razorblade, Dr am 4 real PhD, Monetary doctor, makutupora, Edo kissy, Harmful View attachment 3397746
Kijana alitukataa alipopata pesa sasa pesa zimeisha ameamua kuja na swag mpya, na sisi tunasema hatumtambui😂😂😂.
 
Nimekuelewa kaka
Kwa style hii labda awe mke wa raisi 😂🤣
Screenshot_20250707-233057_1.jpg
 
Back
Top Bottom