Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
nafsi yangu mimi ilivyo ni ya ajabu sana, nikisha turn off setting za internet basi imeisha hiyo.Jaribu kuwa na mahusiano mazuri na nafsi yako. Wazinguaji wapo tu na hawataisha tu.
Naam katibu uko sahihi kabisa, ume potea ndugu yangu!Anzisha chama chako cha majobless maskini ujipe uraisi chama chetu hakina majobless maskini.
Nipo mkuu harakati tu mkaliNaam katibu uko sahihi kabisa, ume potea ndugu yangu!
🤣🤣 umechelewa mkuu nimekwisha pata waunga mkono, utanisamehe tu maana watu wa aina yako watafukuzwa chamani wakati wa uongozi wangu.Anzisha chama chako cha majobless maskini ujipe uraisi chama chetu hakina majobless maskini.
Ndio wajibu wa kila kiumbe hai, karibu tule samaki hapa.Nipo mkuu harakati tu mkali
Alinangwa na Marry kuwa anashinda masaa yote humu hivyo sasa anaamua kupita kimya kimya🤔🏃➡️🏃➡️🏃➡️Naam katibu uko sahihi kabisa, ume potea ndugu yangu!
Siwezi kuwa kwenye chama naongozwa na mtu mwenye akili ya kimaskini , wewe ongoza tu hao omba omba wenzako apeche alolo pangu pa kavu tia mchuzi.🤣🤣 umechelewa mkuu nimekwisha pata waunga mkono, utanisamehe tu maana watu wa aina yako watafukuzwa chamani wakati wa uongozi wangu.
Samaki watamu sana bwashee , asante sana mkali.Ndio wajibu wa kila kiumbe hai, karibu tule samaki hapa.
Sawa.Siwezi kuwa kwenye chama naongozwa na mtu mwenye akili ya kimaskini , wewe ongoza tu hao omba omba wenzako apeche alolo pangu pa kavu tia mchuzi.
Uko dar mkali?Samaki watamu sana bwashee , asante sana mkali.
Hapna mkuu nipo mkoaniUko dar mkali?
kijana siyo kila anaye shinda humu hana mchongo dogo, usi ishi kwa ku claim.Alinangwa na Marry kuwa anashinda masaa yote humu hivyo sasa anaamua kupita kimya kimya🤔🏃➡️🏃➡️🏃➡️
Baridi kaka, ngoja nikazane kunywa ka supu hapaHapna mkuu nipo mkoani
wata zoea Sana MasterUna kaa unapuuzia tu master
KumbeAlinangwa na Marry kuwa anashinda masaa yote humu hivyo sasa anaamua kupita kimya kimya🤔🏃➡️🏃➡️🏃➡️
Vijana I'd fake zinawapa mapafu sana ukikutana navyo sasa 😁wata zoea Sana Master