Chama cha Walimu wajifunze kutoka TLS

Chama cha Walimu wajifunze kutoka TLS

Kuna kitu kinaitwa UMOJA WA WALIMU WAKEREKETWA WA CCM, Nani ashawahi kukisikia? Wako Hadi na VIONGOZI
 
Uchaguzi wa Chama cha Walimu huwa ni Aibu tupu, hebu wajifunze kutoka TLS. HONGERA TLS
Hongera Mwabukusi
kwamba,
yaani wajifinze kiburi cha mwabukusi, right?🐒
 
Kuna kitu kinaitwa UMOJA WA WALIMU WAKEREKETWA WA CCM, Nani ashawahi kukisikia? Wako Hadi na VIONGOZI
🤣🤣🤣,nilishawahi kuwasikia mkuu, yaani hawa jamaa huwa nawashangaa sana.
 
Walimu hua wanapewa wali na tishirt tayari wanabadili maamuzi, hawana msimamo wale
 
  • Thanks
Reactions: al1
Unfair comparison.
Asilimia kubwa ya wanachama wa CWT ni waalimu ambao ni waajirwa wa serikali.
Wanasheria wengi wanachama wa TLS wanatoka sekta binafsi. Wamejiajiri.

Unategemea mbwa anaweza kumgomea mtu anaye mlisha chakula kila siku? Labda awe mbwa kichaa.
NB. Kumbuka yaliyo mkuta bwana Japhet Maganga.
 
Back
Top Bottom