Chama cha Walimu wajifunze kutoka TLS

Chama cha Walimu wajifunze kutoka TLS

Wamechoka ila wanamchangia rais hela ya kununua form ya urais as if yeye rais hiyo hela hana🤣🤣
Kile ni kituko cha mwaka aiseeeee, halafu hawa ndio Watu tunawategemea waje kutuzalishia intellectuals kwa ajili ya Taifa
 
Yaani kuajiriwa kwenye hizi kada,automatically unakuwa na laana flani hivi.
1.manjagu
2.walimu.
 
Mmmmmm hakuna kitu kama hicho walimu wana njaa iko kichwani bila Hovt hawawezi njas mno hawana ecposure waongo wanafikiìi......hakuna kitu kama hicho labda waungane walimu Univ vyeo vote waachie Fon wagomber sio wao na ujinga wao.uoga na inferiority....hakuna hilo milele
 
Duh KAZI ipo
 
Waalimu waoga sana,kuna mradi tulikuwa tunafanya na Waalimu,daah wananidhamu ya uoga sana,sijui kwanini
They have been programmed that way. They are too loyal to individual above their pay grade.

Kuna kikao uchwara nilihudhuria cha waalimu, sasa kuna afisa kipenyo akawa anawachimba mkwara waalimu live "Mnaona zile V8 hapo nje, zimewekwa full tank kwa ajili ya kukutafuta wewe unae pinga juhudi za serikali" imagine, hapo kuna waalimu sio chini ya 150 na wote wapo kimya 😀
 
Back
Top Bottom