Wamechoka ila wanamchangia rais hela ya kununua form ya urais as if yeye rais hiyo hela hana🤣🤣Uchaguzi wa Chama cha Walimu huwa ni Aibu tupu, hebu wajifunze kutoka TLS. HONGERA TLS
Hongera Mwabukusi
kiburi cha ukoo sio 🐒jeuri ya msomi
Kile ni kituko cha mwaka aiseeeee, halafu hawa ndio Watu tunawategemea waje kutuzalishia intellectuals kwa ajili ya TaifaWamechoka ila wanamchangia rais hela ya kununua form ya urais as if yeye rais hiyo hela hana🤣🤣
Duh KAZI ipoMmmmmm hakuna kitu kama hicho walimu wana njaa iko kichwani bila Hovt hawawezi njas mno hawana ecposure waongo wanafikiìi......hakuna kitu kama hicho labda waungane walimu Univ vyeo vote waachie Fon wagomber sio wao na ujinga wao.uoga na inferiority....hakuna hilo milele
They have been programmed that way. They are too loyal to individual above their pay grade.Waalimu waoga sana,kuna mradi tulikuwa tunafanya na Waalimu,daah wananidhamu ya uoga sana,sijui kwanini