Chama cha walimu wasio na ajira (NETO) kiongeze wigo hadi kuwa Chama cha vijana wasio na ajira (NEYO)

Chama cha walimu wasio na ajira (NETO) kiongeze wigo hadi kuwa Chama cha vijana wasio na ajira (NEYO)

Akilindogosana

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2020
Posts
4,303
Reaction score
12,679
Ushauri
Chama cha waalimu wasio na ajira, Non employed Teachers Organization (NETO)
Kingeongesa wigo na kukusanya vijana wengi zaidi na kiwe Chama cha vijana wasio na ajira, Non employed Youth Organization (NEYO)


Karibuni kwa maoni


===================
Tayari kuna chama kimeanzishwa kinaitwa UYAM
Unemployed Youth Allied Movement

Je ni kweli watatetea vijana wasio na ajira au watakuwa machawa?

View: https://youtu.be/0IuWVh7Zt4E?si=2UIGLFNHyKZJtA3L
 
Back
Top Bottom