Jumatano ijayo TABOA wanaanza mgomo wakigomea mfumo wa tiketi za kielektroniki ambao wamesema unaelekea kuwafilisi. Wameamua kwa kauli moja kuanza rasmi mgomo.
Tumekuwa tukishuhudia huko nyuma serikali ya awamu ya tano ikitumia ubabe na vitisho kuzima sauti za madai na matokeo yake kupelekea msiba mkubwa sehemu husika. Kwa hili watakuwaje? Tusubiri tuone.
Yaani mm ningekuwa raisi ningesema yyt anaegoma akaweke gali lake nyumban mm nitaleta magali yangu hapo msitutishe