KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Nilichogundua waTanzania wengi wanatumia mioyo yao hata pahali panapohitaji matumizi ya akili.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ndugu yangu huwa unatumia kiungo gani cha mwili kusifia kila kitu bila aibu?Nani alikwambia walikuwa hawalipi kodi kabla?Kwahiyo kodi imeanza kipindi hiki cha Magufuli?Mabasi yanalipa kodi tangu zamani kuanzia vibali LATRA na kodi ya mapato TRA.Utaratibu upi ambao wanaongelea. Kila biashara inatakiwa kulipa kodi, wafanyakazi wanalipa kodi kwa nini wenye mabasi wasilipe? Hii inaonyesha kwamba walikuwa hawalipi kodi stahiki, maana kwenye electronic system hiyo kodi ni automatic. Hongera sana JPM kwa kuwanyoosha wale wote ambao walifikiri wanaweza kuendelea kuzuga kwamba nchi hii ni masikini.
Yaani mm ningekuwa raisi ningesema yyt anaegoma akaweke gali lake nyumban mm nitaleta magali yangu hapo msitutishe
Hivi unadhani ni rahisi hivyo serikali kuendesha mabasi nchi nzima na nchi jirani?Kuna wakati unajiuliza huyu mtu anafikiria kwa kutumia kiungo gani cha mwili.Kama serikali inashindwa kununua hata mabasi machache tu kwa ajili ya watumishi wake itaweza kununua mabasi zaidi ya elfu 3 ya mkoani?S
Wagome kabisa ili serikali wafufue Kagera RETCO, MORETCO nk, wapewe SUMA Jkt wayaendeshe tuone kama hawatakula huo mgomo wao, hahahaha...zama za mangumashi zimeisha wajameni!
tiketi za ndege hukatawa kwa mfumo wa ki ekectronic na kuna mabasi kibao nao huo mfumo toka zamani kabla ya sasa ikiwemo scandinavia mwanzilishi wa huo mfumo sasa hivi yako mabasi kibao unakata online tiketi na meli pia unakata online .Hawa Taboa siwaelewi mbona kuna mabasi unakata online tiketi na ni wanachama wa Taboa waneanza siku nyingi na hawajafilisika kwa ajili ya mfumo?
''Hii inaonyesha kwamba walikuwa hawalipi kodi stahiki''Hivi ndugu yangu huwa unatumia kiungo gani cha mwili kusifia kila kitu bila aibu?Nani alikwambia walikuwa hawalipi kodi kabla?Kwahiyo kodi imeanza kipindi hiki cha Magufuli?Mabasi yanalipa kodi tangu zamani kuanzia vibali LATRA na kodi ya mapato TRA.
Wapewe mashine za EFD full stop''Hii inaonyesha kwamba walikuwa hawalipi kodi stahiki''
Need I say more?
BTW nasifia kila kitu, weka ushahidi.
Nakubaliana na wewe dawa kula mumiliki atoe Risti yenye jina la abiria anakotoka na kwenda na nauli ya EFD narudia lazima iwe na hizo particukars ziwemo kwenye EFD machineWanaoumia hapo kampuni zisizokua na jina..ila ikiwagombania goli kila mtu atafaidika
Naww unaamini Nchi hii ni tajiri kweli ujinga mzigo mzitoUtaratibu upi ambao wanaongelea. Kila biashara inatakiwa kulipa kodi, wafanyakazi wanalipa kodi kwa nini wenye mabasi wasilipe? Hii inaonyesha kwamba walikuwa hawalipi kodi stahiki, maana kwenye electronic system hiyo kodi ni automatic. Hongera sana JPM kwa kuwanyoosha wale wote ambao walifikiri wanaweza kuendelea kuzuga kwamba nchi hii ni masikini.
Tofauti yake ni nini mkuu kama unafahamu, ie the benefit of EFD system and its disadvantages, also the same on electronic ticketing system.Wapewe mashine za EFD full stop
Jamaa yako ni Dakitari wa sayansi anaishia kuua watu jinga kabisa wwgharama za mifumo huwemo kwenye tiketi .Ndege siku nyinzzzzzzgi wanatumia mfumo mmoja wa kidunia
Wahuni wafilisiwe wapi wakati extra cost ya kukaa tiketi mtandaoni wanaziongeza kwenye gharama za tiketi? unajua Chadema nyoe hamna wasomi na hamjui kutumia wasomi .Hili halina uhusiano na mwenye basi nauli itaongexeka kwa abiria ku cover costs
tuliwakatalia post za juu msiweke watu form six failure kama Mbowe na Mnyika mkagoma kusikiliza sasa haya ndio matokeo.Uelewa zero
Mlamba makalio ya jiwe huyo anatumia matak)))) kufikiriHivi ndugu yangu huwa unatumia kiungo gani cha mwili kusifia kila kitu bila aibu?Nani alikwambia walikuwa hawalipi kodi kabla?Kwahiyo kodi imeanza kipindi hiki cha Magufuli?Mabasi yanalipa kodi tangu zamani kuanzia vibali LATRA na kodi ya mapato TRA.
Nchi hii wapumbafu hakuna dalili zakupungua.... vinginevyo angejiuliza habari ya Jeshi kununua koroshoHivi unadhani ni rahisi hivyo serikali kuendesha mabasi nchi nzima na nchi jirani?Kuna wakati unajiuliza huyu mtu anafikiria kwa kutumia kiungo gani cha mwili.Kama serikali inashindwa kununua hata mabasi machache tu kwa ajili ya watumishi wake itaweza kununua mabasi zaidi ya elfu 3 ya mkoani?
Chama cha wamiliki wa mabasi nchini(TABOA) kwa kauli moja kimetangaza kusitisha kutoa huduma kuanzia jumatano wiki ijayo kwa kugomea mfumo wa ukataji tiketi wa mtandao wakidai mfumo huo ni kandamizi na unawaumiza wamiliki na kufIkia hatua ya kutaka kuwafilisi.
====
Dar es Salaam. Wamiliki wa mabasi wameeleza kusudio lao la kusimamisha huduma ya kusafirisha abiria endapo suala la kutumia mashine za kukatia tike kwa njia ya mtandao (POS) halitapatiwa ufumbuzi.
Mashine za POS zinamtaka mmiliki wa fedha kuweka kiasi cha fedha katika laini ya simu au wakala wa huduma za fedha kwa makadirio ya abiria wa basi husika. Mfano kama basi linabeba abiria 50 kwa nauli ya Sh30,000, mmiliki analazimika kuweka Sh1.5 milioni katika laini ya mashine hiyo.
Hata hivyo, kwa nyakati tofauti baadhi wa wamiliki wamekuwa wakiulalamikia mfumo wakisema siyo rafiki kwa matumizi ya mabasi hayo wakidai una mapungufu makubwa yanayosababisha wao kupata hasara.
Kutokana na hali hiyo, leo Jumamosi Machi 8, 2021 Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa), kimeitisha kikao cha dharura kwa ajili ya kujadili mfumo huo ambapo asimilia kubwa wa wajumbe wa mkutano huo waliazimia kuegesha mabasi yao endapo suala hilo halitashughulikiwa.
Wengine wameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra), kuachana na mfumo huo badala watoe muongozo kwa wamiliki kutumia mashine za kieletroniki za EFD zinazotolewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).
Ingawa hakuwasema muda wa utekelezaji wa mchakato huo wa kuegesha mabasi yao, lakini walitaka Latra kulishughulikia suala hilo, wakisema tangu kuanza kutumika wamekuwa wakipata hasara hali inayosababisha kutojiendesha kwa ufanisi.
“Hili suala ni janga inabidi tupate mashine nyingine kama wanazotumia wafanyabishara. Endapo mfumo huu utaendelea nitawalipa wafanyakazi wangu madai yao kisha mabasi yangu nitayaegesha maana sitoweza,” amesema Max Komba mwakilishi wa mabasi ya Tavavili.
Mwaka 2017 Taboa mkutano mkuu maalumu wa Taboa uliazimia kugoma kutofanyika kwa shughuli za usafirishaji , wakipinga sheria inayolenga kupitishwa ambayo walidai haikuwashirikisha wadau na haitenganishi makosa ya dereva na mmiliki, hali inayosababisha kosa lililofanywa na dereva kusababisha mmiliki kufungwa jela.
Sio naamini, nafahamu Tanzania ni tajiri. I have been blessed to live in different countries and I know Tanzania is rich. In actual fact I knew that even before JPM started this bandwagon. Africa is very rich. If you didn't know that its about time you go back to school.Naww unaamini Nchi hii ni tajiri kweli ujinga mzigo mzito
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Unasoma na kuelewa kwa lugha gani au kihehe?. Basi lijaze lisijaze unatakiwa kufanya hivi 👇🏾.Unaenda kuwafilisi kivipi, hebu fafanua bwashee! Hakuna utafiti uliofanyika kabla ya kuuleta huo mfumo?
Sijasema kuna tofauti .Wameomba wapewe EFD machines sina shida.Ninachotaka kimoja tu EFD ticket ionyeshe mtu anasafiri toka wapi kwenda wapi na ionyeshe jina lake kamili na nauli aliyolipa kama abiria na mzigo kama kaulipiaTofauti yake ni nini mkuu kama unafahamu, ie the benefit of EFD system and its disadvantages, also the same on electronic ticketing system.
Weka ushahidi mkuu vinginevyo ni majungu tu.Jamaa yako ni Dakitari wa sayansi anaishia kuua watu jinga kabisa ww
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app