Jumatano ijayo TABOA wanaanza mgomo wakigomea mfumo wa tiketi za kielektroniki ambao wamesema unaelekea kuwafilisi. Wameamua kwa kauli moja kuanza rasmi mgomo.
Tumekuwa tukishuhudia huko nyuma serikali ya awamu ya tano ikitumia ubabe na vitisho kuzima sauti za madai na matokeo yake kupelekea msiba mkubwa sehemu husika. Kwa hili watakuwaje? Tusubiri tuone.
Hawa wanatafuta tu njia ya kubadili ajenda kuu ya corona na kuingiza jambo litakalowapa sifa serikali.Chama cha wamiliki wa mabasi nchini(TABOA) kwa kauli moja kimetangaza kusitisha kutoa huduma kuanzia jumatano wiki ijayo kwa kugomea mfumo wa ukataji tiketi wa mtandao wakidai mfumo huo ni kandamizi na unawaumiza wamiliki na kufIkia hatua ya kutaka kuwafilisi.
Leo ninyi ndio mmegundua kupoteza pesa kupitia mfumo mpya wa elektroniki kuliko mlivyowasababishia hasara kubwa watumiaji na wateja wenu kama abiria? Mkigoma tu leseni zenu kwa heriChama cha wamiliki wa mabasi nchini(TABOA) kwa kauli moja kimetangaza kusitisha kutoa huduma kuanzia jumatano wiki ijayo kwa kugomea mfumo wa ukataji tiketi wa mtandao wakidai mfumo huo ni kandamizi na unawaumiza wamiliki na kufIkia hatua ya kutaka kuwafilisi.
Uko sahihi mnyika alishaongoza mgomo wa mabasi ya abiria ubungo kipindi cha Kikwete akiwa mbunge wa Ubungo enzi za kuhujumu serikali ya Kikwete ionekane dhaifu ikiogozwa na mtandao wa Lowasa wa CCM na wa Chadema huyo mtoa tamko chadema anatoka kilimanjaro .Taboa wana wanachama kibao walioanza kutumia mfumo wa kukata Tiketi online kabla haya serikali kutamka .Wao wenyewe waliona umuhimu wake Huyu.mtoa tamko Chadema msikilize hadi rafudhi yakeTaboa wanatumiwa na chadema hawa
Kwahiyo wanaolalamika no vishoka au wamilikiHuo mfumo kwa wapigaji aka vishoka ndo imekula kwao hakuna kupiga hela sahv,
Washasahau zile maiti kwenye viroba pale coco beach..Wagome tu
Any strike anticipated to be executed by whoever including TABOA who have made public their intention to doing so without being authorized shall lead to the transporters' licence holders revocation and sabotage charges framed against the hooligan activists.Naungana na TABOA huu mfumo ni KANDAMIZI kabisa, kwanza tujiulize kabla ya kuanzisha huo mfumo au kutoa matamko walikaa kikao na TABOA kuwaelezea juu ya huo utaratibu na kukubaliana ...walsikiliza maoni ya TABOA au mihemko ya kisiasa tu ndio waliamua kuweka huo mfumo bila kuwashirikisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unamjua wasaidie hawa wamiliki wanaoteseka na kufilisiwa.kivipi unaumiza tafadhali nitaongea na Ngewe mkurugenzi mkuu wa Latra ni msikivu .Tafadhali fafanua kivipi haraka mleta mada changamoto ni zipi?
Wagome kabisa ili serikali wafufue Kagera RETCO, MORETCO nk, wapewe SUMA Jkt wayaendeshe tuone kama hawatakula huo mgomo wao, hahahaha...zama za mangumashi zimeisha wajameni!Yaani mm ningekuwa raisi ningesema yyt anaegoma akaweke gali lake nyumban mm nitaleta magali yangu hapo msitutishe
Si kila kitu kinatokana na utafiti, mengine ni maono.Unaenda kuwafilisi kivipi, hebu fafanua bwashee!
Hakuna utafiti uliofanyika kabla ya kuuleta huo mfumo?
Nipo tayari.Anayeongoza mgomo ajiandae kwa kesi za uhujumu uchumi au utakatishaji fedha
gharama za mifumo huwemo kwenye tiketi .Ndege siku nyinzzzzzzgi wanatumia mfumo mmoja wa kiduniaKumbe Wewe uelewa wako mdogo,kwenye ndege TCAA ndo wameweka mfumo wa kukata ticketi?au kwenye meli SUMATRA ndo wameweka mfumo wakukata ticket?
Wahuni wafilisiwe wapi wakati extra cost ya kukaa tiketi mtandaoni wanaziongeza kwenye gharama za tiketi? unajua Chadema nyoe hamna wasomi na hamjui kutumia wasomi .Hili halina uhusiano na mwenye basi nauli itaongexeka kwa abiria ku cover costsKama unamjua wasaidie hawa wamiliki wanaoteseka na kufilisiwa.