Chama cha Wamiliki Mabasi (TABOA) kusitisha kutoa huduma kuanzia Jumatano wiki ijayo kwa kugomea mfumo wa ukataji tiketi kupitia mtandao

Hivi ndugu yangu huwa unatumia kiungo gani cha mwili kusifia kila kitu bila aibu?Nani alikwambia walikuwa hawalipi kodi kabla?Kwahiyo kodi imeanza kipindi hiki cha Magufuli?Mabasi yanalipa kodi tangu zamani kuanzia vibali LATRA na kodi ya mapato TRA.
 
Serikali tu imeshindwa kuendesha kampuni zake km ATCL,na mabasi ya mwendokasi,je,itaweza kununua mabasi ya abiria na kuyasimamia vzr?
Na nyinyi muwe mnatumia ht akili kidogo.
Mmezidi kujikomba.
Yaani mm ningekuwa raisi ningesema yyt anaegoma akaweke gali lake nyumban mm nitaleta magali yangu hapo msitutishe
 
S

Wagome kabisa ili serikali wafufue Kagera RETCO, MORETCO nk, wapewe SUMA Jkt wayaendeshe tuone kama hawatakula huo mgomo wao, hahahaha...zama za mangumashi zimeisha wajameni!
Hivi unadhani ni rahisi hivyo serikali kuendesha mabasi nchi nzima na nchi jirani?Kuna wakati unajiuliza huyu mtu anafikiria kwa kutumia kiungo gani cha mwili.Kama serikali inashindwa kununua hata mabasi machache tu kwa ajili ya watumishi wake itaweza kununua mabasi zaidi ya elfu 3 ya mkoani?
 
Wanaoumia hapo kampuni zisizokua na jina..ila ikiwagombania goli kila mtu atafaidika
 
Hivi ndugu yangu huwa unatumia kiungo gani cha mwili kusifia kila kitu bila aibu?Nani alikwambia walikuwa hawalipi kodi kabla?Kwahiyo kodi imeanza kipindi hiki cha Magufuli?Mabasi yanalipa kodi tangu zamani kuanzia vibali LATRA na kodi ya mapato TRA.
''Hii inaonyesha kwamba walikuwa hawalipi kodi stahiki''

Need I say more?

BTW nasifia kila kitu, weka ushahidi.
 
Baada ya ufafanuzi wa wadau humu nimeelewa Wapewe mashine za EFD full stop.

Ngewe mkurugenzi wa Latra copy kwako ila mtu asipopewa tiketi ya EFD basi lifungiwe
 
Wanaoumia hapo kampuni zisizokua na jina..ila ikiwagombania goli kila mtu atafaidika
Nakubaliana na wewe dawa kula mumiliki atoe Risti yenye jina la abiria anakotoka na kwenda na nauli ya EFD narudia lazima iwe na hizo particukars ziwemo kwenye EFD machine
 
Naww unaamini Nchi hii ni tajiri kweli ujinga mzigo mzito

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Wapewe mashine za EFD full stop
Tofauti yake ni nini mkuu kama unafahamu, ie the benefit of EFD system and its disadvantages, also the same on electronic ticketing system.
 
Jamaa yako ni Dakitari wa sayansi anaishia kuua watu jinga kabisa ww

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ndugu yangu huwa unatumia kiungo gani cha mwili kusifia kila kitu bila aibu?Nani alikwambia walikuwa hawalipi kodi kabla?Kwahiyo kodi imeanza kipindi hiki cha Magufuli?Mabasi yanalipa kodi tangu zamani kuanzia vibali LATRA na kodi ya mapato TRA.
Mlamba makalio ya jiwe huyo anatumia matak)))) kufikiri

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Nchi hii wapumbafu hakuna dalili zakupungua.... vinginevyo angejiuliza habari ya Jeshi kununua korosho

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Nionacho mimi ni kwamba kwa kutumia mfumo itafahamika vizuri mapato wa watu wa mabasi Na hivyo ushuru utakuwa sahihi so hapa unacho ogopa pamoja Na mambo mengine ni upatikana kwa data sahihi ilo ndio tatizo kubwa kwa wafanyabiashara wengi hawapendi uwazi wa mapato yako tz
 
Naww unaamini Nchi hii ni tajiri kweli ujinga mzigo mzito

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Sio naamini, nafahamu Tanzania ni tajiri. I have been blessed to live in different countries and I know Tanzania is rich. In actual fact I knew that even before JPM started this bandwagon. Africa is very rich. If you didn't know that its about time you go back to school.

Ni wapumbavu na wajinga pekee, ambao hawafahamu kwamba Tanzania ni tajiri.
 
walipe kodi waache longolongo mifumo ya kielectoniki ipo tu sikuzote dunia imebadilika lazima wakubali mabadiliko
 
Unaenda kuwafilisi kivipi, hebu fafanua bwashee! Hakuna utafiti uliofanyika kabla ya kuuleta huo mfumo?
Unasoma na kuelewa kwa lugha gani au kihehe?. Basi lijaze lisijaze unatakiwa kufanya hivi 👇🏾.

Mashine za POS zinamtaka mmiliki wa fedha kuweka kiasi cha fedha katika laini ya simu au wakala wa huduma za fedha kwa makadirio ya abiria wa basi husika. Mfano kama basi linabeba abiria 50 kwa nauli ya Sh30,000, mmiliki analazimika kuweka Sh1.5 milioni katika laini ya mashine hiyo.
 
TRA b
Tofauti yake ni nini mkuu kama unafahamu, ie the benefit of EFD system and its disadvantages, also the same on electronic ticketing system.
Sijasema kuna tofauti .Wameomba wapewe EFD machines sina shida.Ninachotaka kimoja tu EFD ticket ionyeshe mtu anasafiri toka wapi kwenda wapi na ionyeshe jina lake kamili na nauli aliyolipa kama abiria na mzigo kama kaulipia

TRA na TABOA wapeni hizo EFD au wa develop system zao ambazo zitakuwa EFD compliant na kuwa verified na TRA kama TRA hamnazo mzi link na za kwao.Mtu akikata kwenye system zao kama ilivyo Tigo pesa mpesa airtel money halopesa mabenki Tanesco Ewura nk chenu TRA kinaingia kwenu

kama mlivyoruhusu individual system za makampuni ya Simu do the same kwa mabasi wasiotaka system ya pamoja ambayo kawaida ina tabia ya kushushua system costs!! kama kila mmoja anataka yake sio kesi aende sokoni akanunue yake aone gharama zake.Latra wana nia nzuri kusaidia cost za Ticket management sysyten kuwa chini lakini kama TABOA wabishi let everybody develop his own as long as it is compatible wit TRA is not a big deal!!! waacheni mtoto akililia wembe mpe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…