Chama kilichosusia uchaguzi kinaachwa vipi kufanya siasa??

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Hivi msajili wa vyama vya siasa sheria yake inaruhusu vyama vya siasa vinavyohamasisha vurugu bila kushiriki uchaguzi?
 
Umeshawahi kujiuliza maswali ya msingi?
1. Kilisusia huo uchaguzi kwa sababu zipi?
2. Hizo sababu zao za kususia zina mashiko au hazina?
3. Je, chama cha kisiasa kikisusia uchaguzi hakiruhusiwi kufanya siasa?

Machawa mkishazishusha akili zenu tumboni, kichwani hujaa matope na kamasi tu.
 
Mavi ya mama Tena yamechanganyika na damu za watu alikwisha wauwaji . Hii haijawahi kutokea
 
Hivi msajili wa vyama vya siasa sheria yake inaruhusu vyama vya siasa vinavyohamasisha vurugu bila kushiriki uchaguzi?
Screenshot_20251201-222021~2.png
 
Hivi msajili wa vyama vya siasa sheria yake inaruhusu vyama vya siasa vinavyohamasisha vurugu bila kushiriki uchaguzi?
Ficha umbumbu wako wa kindezi, kushiriki uchaguzi sio lazima
Amazing how uneducated you are, ask your parents to let you finish kindergarten.
 
Sheria gani inasema ni lazima kushiriki huo unaouita "uchaguzi" jinga lao.

Nawapongeza waliogomea huo mnaotaka kuuita uchaguzi , kwa hizi video huu upumbavu ndio mnaita uchaguzi?

Mbona huulizi sababu za hicho chama kugomea huo mnaouita uchaguzi?
 
Umeshawahi kujiuliza maswali ya msingi?
1. Kilisusia huo uchaguzi kwa sababu zipi?
2. Hizo sababu zao za kususia zina mashiko au hazina?
3. Je, chama cha kisiasa kikisusia uchaguzi hakiruhusiwi kufanya siasa?

Machawa mkishazishusha akili zenu tumboni, kichwani hujaa matope na kamasi tu.
Unampa fact mtu anayefikiria kwa kutumia kiwango cha pesa anayolipwa
 
Umeshawahi kujiuliza maswali ya msingi?
1. Kilisusia huo uchaguzi kwa sababu zipi?
2. Hizo sababu zao za kususia zina mashiko au hazina?
3. Je, chama cha kisiasa kikisusia uchaguzi hakiruhusiwi kufanya siasa?

Machawa mkishazishusha akili zenu tumboni, kichwani hujaa matope na kamasi tu.
Aiseee....duuuuh!..
 
Back
Top Bottom