Chama kilichosusia uchaguzi kinaachwa vipi kufanya siasa??

Chama kilichosusia uchaguzi kinaachwa vipi kufanya siasa??

CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NI....

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA


AMKENI WATANGANYIKA
 
Hivi msajili wa vyama vya siasa sheria yake inaruhusu vyama vya siasa vinavyohamasisha vurugu bila kushiriki uchaguzi?
Je vipi kilicho iba uchaguzi kiachwe kufanya siii hasaaa?
 
Hivi msajili wa vyama vya siasa sheria yake inaruhusu vyama vya siasa vinavyohamasisha vurugu bila kushiriki uchaguzi?
Kufanya mikutano si hisani ya mtawala wala msajili wa vyama bali ni haki ya vyama na iko kikatiba. Kutoshiriki uchaguzi kwa chama chochote haiondolei haki chama chochote kufanya mikutano. Punguza ujinga na uchawa
 
Hivi msajili wa vyama vya siasa sheria yake inaruhusu vyama vya siasa vinavyohamasisha vurugu bila kushiriki uchaguzi?
Kuna mjukuu wangu mmoja aliwahi niuliza kuwa kumbe mjinga kadiri anavyozeeka ujinga nao unaongezeka, nikamwelezea kuhusu wewe kama rejea.
 
Hivi msajili wa vyama vya siasa sheria yake inaruhusu vyama vya siasa vinavyohamasisha vurugu bila kushiriki uchaguzi?
Kusema ukweli mama Samia na viongozi wengine wa serikali wanalea sana hawa wajinga. Magu tu ndo hakuwapa hata pumzi, na alifanya vizuri.....vile ndivyo inavyotakiwa la basi utamaliza muda wako wa uraisi haujafanya chochote zaidi ya kumaliza rasilimali muda na fedha kuhangaishana na hao wajinga. Kipindi Cha uchanguzi kikifika hao hao wanapanda majukwaani kukushutumu kuwa haujafanya chochote.

Haki ya nani ningekiwa Raisi Mimi!!!!
 
Umeshawahi kujiuliza maswali ya msingi?
1. Kilisusia huo uchaguzi kwa sababu zipi?
2. Hizo sababu zao za kususia zina mashiko au hazina?
3. Je, chama cha kisiasa kikisusia uchaguzi hakiruhusiwi kufanya siasa?

Machawa mkishazishusha akili zenu tumboni, kichwani hujaa matope na kamasi tu.
Ndiyo mnachokiweza nyie chadema matusi
 
Hivi msajili wa vyama vya siasa sheria yake inaruhusu vyama vya siasa vinavyohamasisha vurugu bila kushiriki uchaguzi?
Chadema kilikosa sifa ya kuwa chama cha siasa muda mrefu, ni watu wa kulalamika, kulaumu, kuzusha, kutukana sasa hivi wameanza kuchochea vurugu, uasi, chuki, ubaguzi, ila Magufuli alishamaliza kazi sema huyu mzanzibari aliona ana akili kumzidi Magu vinginevyo kingeshafutika. Hao wahaini kina Lissu, Heche, Lema walishakimbia nchi Samia kajipendekeza eti ni mwuungwana, angalia walichomtenda Oktoba 29, 2025!
 
Hivi msajili wa vyama vya siasa sheria yake inaruhusu vyama vya siasa vinavyohamasisha vurugu bila kushiriki uchaguzi?
Wewe kwa akili yako na roho ya kikatili ni sawa na mwanao hajafanya homework hivyo hastahili kula pamoja na kuwa umecha mchapa vimbo nyingi.Huna tofauti na fikra za chama chako na m.kiti wako.
 
Wewe kwa akili yako na roho ya kikatili ni sawa na mwanao hajafanya homework hivyo hastahili kula pamoja na kuwa umecha mchapa vimbo nyingi.Huna tofauti na fikra za chama chako na m.kiti wako.
Tena nikiwa na mwana mtukutu namna hiyo naenda kwa kabidhi wasihi kumkana kabisa
 
민주주의는 마법이다. 정치인은 마술사이고, 그 이념을 받아들이는 시민들은 순한 무리다. 그것은 달리는 자들, 파괴하는 자들, 그리고 파괴당한 자들로 이루어진다.
 
Back
Top Bottom