CHADEMA is a batch of criminals
Think tank za chama zimeoza na kuchakaaHivi msajili wa vyama vya siasa sheria yake inaruhusu vyama vya siasa vinavyohamasisha vurugu bila kushiriki uchaguzi?
Je vipi kilicho iba uchaguzi kiachwe kufanya siii hasaaa?Hivi msajili wa vyama vya siasa sheria yake inaruhusu vyama vya siasa vinavyohamasisha vurugu bila kushiriki uchaguzi?
Kufanya mikutano si hisani ya mtawala wala msajili wa vyama bali ni haki ya vyama na iko kikatiba. Kutoshiriki uchaguzi kwa chama chochote haiondolei haki chama chochote kufanya mikutano. Punguza ujinga na uchawaHivi msajili wa vyama vya siasa sheria yake inaruhusu vyama vya siasa vinavyohamasisha vurugu bila kushiriki uchaguzi?
Mtavishwa pampasi wewe, mmetekenywa kidogo tu mnasimamisha nchi!Hivi msajili wa vyama vya siasa sheria yake inaruhusu vyama vya siasa vinavyohamasisha vurugu bila kushiriki uchaguzi?
Kuna mjukuu wangu mmoja aliwahi niuliza kuwa kumbe mjinga kadiri anavyozeeka ujinga nao unaongezeka, nikamwelezea kuhusu wewe kama rejea.Hivi msajili wa vyama vya siasa sheria yake inaruhusu vyama vya siasa vinavyohamasisha vurugu bila kushiriki uchaguzi?
Kusema ukweli mama Samia na viongozi wengine wa serikali wanalea sana hawa wajinga. Magu tu ndo hakuwapa hata pumzi, na alifanya vizuri.....vile ndivyo inavyotakiwa la basi utamaliza muda wako wa uraisi haujafanya chochote zaidi ya kumaliza rasilimali muda na fedha kuhangaishana na hao wajinga. Kipindi Cha uchanguzi kikifika hao hao wanapanda majukwaani kukushutumu kuwa haujafanya chochote.Hivi msajili wa vyama vya siasa sheria yake inaruhusu vyama vya siasa vinavyohamasisha vurugu bila kushiriki uchaguzi?
Ndiyo mnachokiweza nyie chadema matusiUmeshawahi kujiuliza maswali ya msingi?
1. Kilisusia huo uchaguzi kwa sababu zipi?
2. Hizo sababu zao za kususia zina mashiko au hazina?
3. Je, chama cha kisiasa kikisusia uchaguzi hakiruhusiwi kufanya siasa?
Machawa mkishazishusha akili zenu tumboni, kichwani hujaa matope na kamasi tu.
Angalia wafuasi? Matusi!Kazi ya chama cha siasa sio uchaguzi pekee kijana, huko shule za kata mlikua mnasoma au mnakariri matope?
Chadema kilikosa sifa ya kuwa chama cha siasa muda mrefu, ni watu wa kulalamika, kulaumu, kuzusha, kutukana sasa hivi wameanza kuchochea vurugu, uasi, chuki, ubaguzi, ila Magufuli alishamaliza kazi sema huyu mzanzibari aliona ana akili kumzidi Magu vinginevyo kingeshafutika. Hao wahaini kina Lissu, Heche, Lema walishakimbia nchi Samia kajipendekeza eti ni mwuungwana, angalia walichomtenda Oktoba 29, 2025!Hivi msajili wa vyama vya siasa sheria yake inaruhusu vyama vya siasa vinavyohamasisha vurugu bila kushiriki uchaguzi?
Wewe kwa akili yako na roho ya kikatili ni sawa na mwanao hajafanya homework hivyo hastahili kula pamoja na kuwa umecha mchapa vimbo nyingi.Huna tofauti na fikra za chama chako na m.kiti wako.Hivi msajili wa vyama vya siasa sheria yake inaruhusu vyama vya siasa vinavyohamasisha vurugu bila kushiriki uchaguzi?
Tena nikiwa na mwana mtukutu namna hiyo naenda kwa kabidhi wasihi kumkana kabisaWewe kwa akili yako na roho ya kikatili ni sawa na mwanao hajafanya homework hivyo hastahili kula pamoja na kuwa umecha mchapa vimbo nyingi.Huna tofauti na fikra za chama chako na m.kiti wako.
Jibu maswali yangu. Hakuna mahali nimekitukana.Ndiyo mnachokiweza nyie chadema matusi