Chama kipya cha Siasa kinachoitwa "Umoja Party" kuanzishwa

Mwenyekiti ==> Bashiru
Katibu mkuu==> Polepole

Sasa Bashiru kuwa mwenyekiti wa chama ndio anguko lingine kwa hilo zoezi!?

Wengi wa wanasiasa wa vyama pinzani Tanzania hawana nia ya dhati ya kupeleka nchi kwenye maendeleo ya watu. Ndio maana upinzani unazidi kuwa dhaifu siku baada ya siku

Mungu ibariki Tanzania
 
Mwali, hapo hakuna upinzani bali ni ccm walewale (magifuli) wenye mrengo na mtazamo tofauti na hii ccm ya mama
 
Ishu ni katiba imara tu maana tume ni ile ile , wasimamizi ni walewale , wakurugenzi ni walewale.

Kuanzisha chama kipya ni kama kigenge kipya cha kukusanya Ruzuku bila uharamu.
Katiba mpya haitashuka kama mana..inawezekana hicho chama unachokidharau ndio kikaleta mapinduzi ya katiba mpya tofauti na hiki kinachoishia kutoa matamko ambapo watoa matamko wapo nje ya nchi na familia zao.
 
Endelea kutunza heshima unayopewa na watu huku jamvini, kushabikia upuuzi ni kujiondolea hadhi bila sababu.

Nimeshabikia nini hapo?

Kumuuliza huyo aliyetumia hilo jina kama anajua maana yake ni ushabiki?

Au wewe unaona sawa kuwaita watu hivyo alivyowaita? Au..!??

Haya Bila bila hiyo comment ya kuwatusi wengine imeondolewa
 
Hahaaa waacheni wafu wazike wafu wao ,hii ni sanaaa ya maonyesho ili kuwaaminisha watu kwamba nchi ina demokrasia na vyama vinaanzishwa kama kawaida kumbe ni fiisiiemu wale wale tu
 
Ishu ni katiba imara tu maana tume ni ile ile , wasimamizi ni walewale , wakurugenzi ni walewale.

Kuanzisha chama kipya ni kama kigenge kipya cha kukusanya Ruzuku bila uharamu.
Tanzania inahitaji upinzani mpya kabisa wa kupingana au kushindana na CCM. Hao akina CHADEMA, ACT WAZALENDO, CUF, n.k. wameshapoteza credibility waliokuwa nayo. Hawana jipya.

Kitu cha kwanza kama taifa tunahitaji credible and reliable oppositions na Katiba mpya ndiyo itafuatia. Huwezi kupata "Katiba mpya" kama huna upinzani unaoaminika na wananchi.
 
Ishu ni katiba imara tu maana tume ni ile ile , wasimamizi ni walewale , wakurugenzi ni walewale.

Kuanzisha chama kipya ni kama kigenge kipya cha kukusanya Ruzuku bila uharamu.
Hata kama katiba mpya ikija bado watu watakuwa ni wale wale tu hawatobadilika,hivyo itakuwa kazi bure.
 
Mkuu tukikupekua tutakuta una kadi ya ccm
 
Chama Kipya Kinakuja, Kinaitwa Umoja Party...

Naona rangi ya kijani na njano, huu utakuwa ni mwanzo wa kumeguka kwa CCM.

Inavyoonekana CCM B inaenda kuzaliwa na kama ni kweli basi sasa tutarajie ushindani halisi uchaguzi mkuu ujao 2025.

Kuna kundi ndani ya CCM halimkubali kabisa "Madam".

The beginning of the end for CCM is coming!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…