Chama kipya chaundwa Tanzania kuendeleza falsafa ya Magufuli

Kama siasa zikiwa za kistarabu,zisizo za kibabe,fujo na matusi hakuna sababu yeyote kwa nini serikali ya Chama tawala isi relax masharti.Tatizo ni vyama vya upinzani kutokuwa na adabu na kushirikiana na mabeberu kui-sabotage nchi.Nchi hii ni yetu sote,Ni lazima tushirikiane kuijenga,sio kuibomoa.
 
Mnavizia ruzuku tu nyie...
Ruzuku?
Kama ruzuku ikija itatumika kwa kupanga mikakati ya kuingia madarakani ili kuwaletea Watanzania maendeleo yao,that is all,sio kuganga njaa.
 
Ruzuku?
Kama ruzuku ikija itatumika kwa kupanga mikakati ya kuingia madarakani ili kuwaletea Watanzania maendeleo yao,that is all,sio kuganga njaa.
Endelea kuota wakati kumeshakucha.
 
Mwendazake alikuwa kiongozi muovu. Period.
Muovu ulikuwa wewe,ndio maana uli-face his wrath.Kama ni mwizi wa mali ya uma,mkwepa kodi,uli-forge cheti,CIA covert operator na ulikuwa una-sabotage nchi in any way,kwa nini asikushuhulikie.He was right.
 
Endelea kuota wakati kumeshakucha.
Kila kitu kinaanza kwa planning,nothing comes into being without planning.Hata CCM ilikuja kwa mipango ya Mwalimu Nyerere.
 
Chama chochote kinachounga mkono falisafa za JPM, nitakuwa mwanachama wake
Hivi kuua ni falsafa eenhe
Unaua alafu unajisifu falsafa ya magufuli
 
Mh hapo tu kweny falsafa bora kifutwe mazima, mamb ya kutekana, tesa, ua, filisi. Noooo
 
Mh hapo tu kweny falsafa bora kifutwe mazima, mamb ya kutekana, tesa, ua, filisi. Noooo
Labda nikuulize swali.Hivi kama wewe ungekuwa Rais,halafu unahangaika kuwaletea wananchi wako maendeleo.Then watu fulani kwa ujinga tu na uchumia tumbo from nowhere,wanashirikiana na mabeberu ku-sabotage maendeleo ya taifa,wewe kama Rais ungewafanyaje?And you have all the evidence.Naomba unijibu tafadhali.
 
Unashangilia chama kipya badala ya kupiga Kelele Katiba Mpya ipatikane.
Aliyekuloga kafa.
Usishangae sana, ndio akili za Wanasiasa wa Kibongo..Yaani wanawaza wataingia Ikulu wakati huyo wanayetaka kumtoa madarakani ndio huyo huyo anayesajili hivyo vyama ..How ironic!
 
Usishangae sana, ndio akili za Wanasiasa wa Kibongo..Yaani wanawaza wataingia Ikulu wakati huyo wanayetaka kumtoa madarakani ndio huyo huyo anayesajili hivyo vyama ..How ironic!
Kwa hiyo unatuambia kwamba Tanzania hakuna haki?Ndio maana Umoja Party inataka kuingia Ikulu ili irejeshe haki.
 
Si ajabu ccm imetengeneza tawi, kwa kua wameona mama hafanyi kile ambacho magu alikua anakifanya na kunaweza kupelekea kukosa kura kwa waliokua upande wa magu.

Kwahiyo wameona ni bora waunde copy yao ili kuvuruga na kuzipiga bao idea za vyama vingine kumtumia magu ili kujizolea kura kwa wachache waliomkubali.

Bado sina imani na Umoja party.
 
Udikteta na ukabila uliuona wewe,sisi wengine hatukuuona.Subiri wananchi wataamua kwenye box la kura 2025.

Magufuli alipandikiza mbegu ya kunajisi box la kura kwa kupora haki ya wananchi kuchugua, usitegemee wanaccm wengine kukubali ushindani. Kama Magufuli mnayesema alikuwa anakubalika na wananchi lakini alikuwa hana uhakika wa ushindi mpaka apore uchaguzi, basi nchi hii mmejaa wajinga wa kutupa.
 
Umoja party ni tawi halisi la ccm, ni chama kilichoko kimkakati kuipa backup çccm ikizidiwa kwenye uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…