Chameleone Kusaini talaka baada ya miaka 17 kwenye ndoa. Adai mali ni za watoto

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mkongwe wa Mziki nchini Uganda Joseph Mayanja maarufu kama Jose Chameleone amevunja ukimya kuhusu mwenendo wa talaka yake na Mke wake Daniella Atim waliofunga ndoa miaka 17 iliyopita na kusisitiza kuwa ingawa amekubali mali zake kugawanywa lakini hakubaliani na kitendo cha kulazimishwa kusaini wosia.

Kwa mujibu wa ripoti ya Vyombo vya Habari Nchini Uganda vya BigEye na Pulse Uganda, Chameleone amesema hayo wakati akiwa LIVE kupitia kurasa zake Mtandaoni na kuweka wazi kuwa mali wanazogombea na Mkewe ni mali za Watoto na sio zao binafsi.

“Mambo tunayopigania ni ya Watoto sio yetu na hata Watoto watawaachia Watoto wao, acha kutengeneza hali ambayo hakuna" amesema Chameleone.

1756365390900.png

Mchakato wa kugawanywa kwa mali zake umeanza kuonekana mapema baada ya Mke wake kufungua mashtaka Mahakamani kudai talaka mnamo mwezi Machi mwaka huu ambapo August 21 alikubali kutoa talaka kwa kile Mkewe alichokiita kutelekezwa.

Chameleone mwenyewe amesema kuwa hana pingamizi la kusaini hati za kisheria ikiwa sheria itamtaka na amesisitiza kuwa utajiri wake wote ni kwa manufaa ya Watoto wake watano na sio yeye wala Mkewe na ameongeza kwamba hajalemewa na mchakato wa talaka amewahakikishia Mashabiki zake kuwa bado yuko katika amani wakati vita ya kisheria ikiendelea

1756365462587.png

Chanzo: Millard ayo
 
Eeehhh hii changamoto kwasasa ni global thing, worldwide yani.
Tujifunze kitu wanaume na wanawake pia. Hasa wanaume maana sisi hata ukimkuta mwanamke na mali, wao wala hawaoni aibu kukuambia hiz mali sio za ndoa na pia sis wengi wetu huwa hatuhangaiki kabisaa na mali za wanawake maana kwanza ni aibu hata jamii itakushangaa.

ila sis wanaume huwa tunaonaga poa tu badala ya kusema kila mtu abaki na chake cha kabla ya ndoa then tuanze upyaaa pamoja kutafuta mali za ndoa. Hapa ndipo wanaume tumejiroga ,wala hakuna wa kumlaumu. We have to change
 
Eeehhh hii changamoto kwasasa ni global thing, worldwide yani.
Tujifunze kitu wanaume na wanawake pia. Hasa wanaume maana sisi hata ukimkuta mwanamke na mali, wao wala hawaoni aibu kukuambia hiz mali sio za ndoa na oia sis huwa hatuhangaiki kabisaa na mali za wanawake maana kwanza ni aibu hata jamii itakushangaa.

ila sis wanaume huwa tunaonaga poa tu badala ya kusema kila mtu abaki na chake cha kabla ya ndoa then tuanze upyaaa pamoja kutafuta mali za ndoa. Hapa ndipo wanaume tumejiroga ,wala hakuna wa kumlaumu. We have to change
Sasa unaweza kujionea madhara ya mwanaume kuwa Simp kwa mwanamke. Mwanamke mwisho wa siku huwa hana huruma na simp na atakutumia kama punching bag.

Siku vijana wakielewa concept ya U'simp imekaaje na madhara yake watanielewa kwanini huwa naandika nyuzi kila siku hapa kuuponda u'simp na kuwaambia wajijenge kisaikolojia upya.
 
Kwakwel mindset za vijana kwasasa kuhusu ndoa inahitaji TOTAL REVAMP kabisaaaa yani.

Dooohhh nawaogopa sana hawa wenzetu kwasada aisee. Legal attachment nao kwakweeeel hell nooo, sishauri kabisa mtu ajaribu. Kama ndoa ni lazima basi weka sawa sana makubaliano kabla ,usione aibu wala usione utaonekanaje!!
 
Kwakwel mindset za vijana kwasasa kuhusu ndoa inahitaji TOTAL REVAMP kabisaaaa yani
Na wanawake wataendelea kuwa wa hovyo kadiria siku zinavyokwenda hadi siku hawa wajinga "ma'simp" atakapopungua ndipo wanawake akili za kike zitaanza kufanya kazi na kutambua nafasi ya mwanaume katika maisha yao.

Sasa mtu anaingia katika mahusiano na mali zako halafu unahalalisha umiliki kwa mtu ambaye amezikuta upo nazo, why msiunde mfumo mpya baada ya kukutana, kama ni rahisi wakatafute zao. Mbona mkikutana kwenye ndoa wao wakiwa na mali hawataki kushare umiliki?

Wewe mtu anatolewa bikra na wahuni, anazaa nje ya ndoa pengine na watu hata sita tofauti, wewe unakuja unamsujudia kama kitu pekee why mabinti wadogo wasione kujitunza ni ujinga wakati mabwege ya kuwatunza yapo kibao uraiani.
 
Sasa mtu anaingia katika mahusiano na mali zako halafu unahalalisha umiliki kwa mtu ambaye amezikuta upo nazo, why msiunde mfumo mpya baada ya kukutana, kama ni rahisi wakatafute zao. Mbona mkikutana kwenye ndoa wao wakiwa na mali hawataki kushare umiliki?
Haya ndio masuala NASHAURI kwa ndoa ZA SASA vijana wa kiume (na wa kike pia) wayafanyie kazi. Bila aibu bila haya watu wawekane bayana ili kuepusha migongano mbele ya safari.

Ili mmoja anapoamua vinginevyo, aachwe freeely kabisa kuondoka bila zengwe
 
Kwa kifupi mwanamke asiingie kwenye ndoa na misheni ya kutafuta mali ndoa haitadumu au itakuwa haina furaha.

Mwanamke kumtegemea mwanaume kwa kila kitu sio fedheha wala adhabu na wanaume wanachukulia ni kawaida. Shida ni mwanamke kutaka mashindano ya kiuchumi na wenzake ambao wanajitafutia na huko ndio wanakobeba matatizo kuyaleta ndoani.

Wanaume hawanaga shida na mali kiasi hicho hadi afikie hatua ya kutaka utekese yeye yupo ukiona hivyo basi kuna tabia zako ambazo ulimuonyesha mara kadhaa akapoteza mapenzi na huruma na wewe Mwanamke.

Mwanaume kisasi chake ni kama cha kunguru,atataka akukomoe kwa vitu vidogo vidogo hadi ukiri makosa yote. Ukishindana nae ndio pale jamii inamuona mnyanyasaji kumbe hakuwa anasema tu.

Sasa jamaa kuweka majina ya mali kwa watoto ni wazi anagombana na mkewe sio kwamba hataki mkewe atumie mali zake ila anahofia mwanamke anatata kumdhurumu na mali zake mwenyewe.

Vitoto vyake kama umevisikia vinamtukana baba yao. Ukiona watoto wanamtukana baba yao jibu tayari unalo kuhusu aina gani ya mwanamke aliyenae.

Watoto kutukana baba inatokana na kusikia mama akimtusi na kumlaani zaidi ya mara kadhaa huko pembeni baba akiwa hasikii chochote.
 
Mimi kuanzia sasa mali zitakaa kwenye umiliki wa kampuni. Fullstop. Fungua kampuni brella, hata NGo tu kisha attach umiliki huko unakwepa shida ndogo ndogo hiz ambazo ni too personal

Ukosahihi sana. Collabo ya mama na watoto ni balaaa. Hapo hesabu huna watoto.
 
Kitoto chake kile cha kiume kinamtukana balaa. Baba yake anaumwa kinasema hakijali kwani akiumwa yeye inamhusu nini,sasa mtoto mdogo kama yule tena wa kiume anatoa wapi jazba vile kwa baba yake?

Ni wazi mama yake anapandikiza chuki kwasababu hata kama baba ni wa hovyo mama anatakiwa kuwa msuluhishi na kumkemea mtoto kwa kosa la kuwa na fikra mbaya kwa baba yake na kumkumbusha kuwa anawajibika kuwajali wazazi wote wawili.
 
Issue sio kuzitambua mali ambazo amezikuta,Issue kubwa ambayo inaumiza moyo ni kiwa hata hizo mali ambazo mtachuma wote jasho la mwanaume litakuwa 98% na huyo mwanamke litakuwa 2% but mkiachana mahakama itagawa karibu nusu kwa nusu.
Ndoa ni uhamishaji wa mali kutoka kwa mwanaume aliyezitafuta kwa jasho kwenda kwa mwanamke anayezipata kwa ku exchange na uke.
 
Kitoto chake kile cha kiume kinamtukana balaa. Baba yake anaumwa kinasema hakijali kwani akiumwa yeye inamhusu nini,sasa mtoto mdogo kama yule tena wa kiume anatoa wapi jazba vile kwa baba yake?

Ni wazi mama yake anapandikiza chuki kwasababu hata kama baba ni wa hovyo mama anatakiwa kuwa msuluhishi na kumkemea mtoto kwa kosa la kuwa na fikra mbaya kwa baba yake na kumkumbusha kuwa anawajibika kuwajali wazazi wote wawili.
Endeleeni kulea watoto KIZUNGU
 
Sasa unaweza kujionea madhara ya mwanaume kuwa Simp kwa mwanamke. Mwanamke mwisho wa siku huwa hana huruma na simp na atakutumia kama punching bag.

Siku vijana wakielewa concept ya U'simp imekaaje na madhara yake watanielewa kwanini huwa naandika nyuzi kila siku hapa kuuponda u'simp na kuwaambia wajijenge kisaikolojia upya.
Umekuja kuongea ivyo baada ya kuwa umekuwa mtu mzima, ukaona maku is nothing,
Either appetite Iko down aka libido, ama hela za kuhudumia hunazo. Ni asili mwanaume kuhudumia cheki jogoo mwenyewe Yuko bize kuyatafutia tetea food mshahara wake ni maku tu, yaani kimahusiano nature ilimpa ke odds nyingi na Zinam favor.
Swala Naye anamiliki majike 30 akiyaonyesha nyasi zilipo malipo yake ni kugonga.
Yaani Mungu aliumba ivyo ilo watu wazaliane otherwise homo sapiens species could had perished from the Earth's surface
 
Binadamu tofauti na wanyama amepewa utashi wakujijenga kitaasisi na kuweka taratibu za kuishi.

Maisha ya mahusiano yanakwenda kwa cycle ya kuishi kwa kujifunza,kubaini tatizo migogoro ikianza,kuketi kitako kutafuta suluhu then kuboresha na life inaendelea.

Ukiona mtu kwenye mahusiano analeta fujo na migogoro isiyo na mwisho jua huyo anachagua au anatengeneza mazingira na sababu ya uhusiano kufa sababu hapendi kuwapo ndani yake sasa anatafuta kuhalalisha njia ya kutokea.

Na siku hizi imekuwa ni fashion kutoka na kuvunja ndoa ila ukitazama hakuna faida yoyote zaidi ya kupotezeana muda,kuumiza watoto wasio na hatia na kuonekana useless kwenye jamii.
 
Back
Top Bottom