Chameleone Kusaini talaka baada ya miaka 17 kwenye ndoa. Adai mali ni za watoto

Chameleone Kusaini talaka baada ya miaka 17 kwenye ndoa. Adai mali ni za watoto

Mkongwe wa Mziki nchini Uganda Joseph Mayanja maarufu kama Jose Chameleone amevunja ukimya kuhusu mwenendo wa talaka yake na Mke wake Daniella Atim waliofunga ndoa miaka 17 iliyopita na kusisitiza kuwa ingawa amekubali mali zake kugawanywa lakini hakubaliani na kitendo cha kulazimishwa kusaini wosia.
Ukiwa na hela unakuwa unaringa sana hasa wanaume.

Unakula michepuko kila kona, unakokota mizoga yote inayojiuza , kula pombe za kumwaga na nyama za kufa mtu.

Muda wote huo wife hana cha kukufanya maana wewe unadai maisha ni mafupi u akula mali zako hutaki stress.

Baadae majanga yanakupata sasa. Mwili unaisha nguvu, una konkoroka hata kutembea tu mpaka ushikwe mkono. Mademu na michepuko inakukimbia.

Wakati huo ndio unaanza kutafuta huruma ya Mke wako. Hapo usitafute Mchawi.

Wanaume tujipange. Wala wanawake hawana shida kama tunavyowatangaza
 
mkuu mbona wanataka kugawana na unakuta alikua Mama wa nyumbani?
 
huu ni Utapeli
Sio utapeli.....nguvu zikishaisha na michepuko imekimbia stress zinataka kukua unaanza kutaka kuuza mali zilizobaki. Hapo Mwanamke inabidi asimame kidete mgawane ili ukiuza wewe ufe tu na chako.

Ila sio kwa sababu unataka kufa unauza kila kitu kwa uzembe wako wa kutochukua tahadhari kwenye maisha yako. Harafu unataka huruma ya jamii.
 
Hyo haipo.
Kama angekuwa amekufa ndo mali zingekuwa za watoto.ila hapo NI MALI ZAO WALITAFUTA PAMOJA
 
Sasa unaweza kujionea madhara ya mwanaume kuwa Simp kwa mwanamke. Mwanamke mwisho wa siku huwa hana huruma na simp na atakutumia kama punching bag.

Siku vijana wakielewa concept ya U'simp imekaaje na madhara yake watanielewa kwanini huwa naandika nyuzi kila siku hapa kuuponda u'simp na kuwaambia wajijenge kisaikolojia upya.
Umekopi huko kwa English unaleta hapa
 
Back
Top Bottom