Sasa unaweza kujionea madhara ya mwanaume kuwa Simp kwa mwanamke. Mwanamke mwisho wa siku huwa hana huruma na simp na atakutumia kama punching bag.Eeehhh hii changamoto kwasasa ni global thing, worldwide yani.
Tujifunze kitu wanaume na wanawake pia. Hasa wanaume maana sisi hata ukimkuta mwanamke na mali, wao wala hawaoni aibu kukuambia hiz mali sio za ndoa na oia sis huwa hatuhangaiki kabisaa na mali za wanawake maana kwanza ni aibu hata jamii itakushangaa.
ila sis wanaume huwa tunaonaga poa tu badala ya kusema kila mtu abaki na chake cha kabla ya ndoa then tuanze upyaaa pamoja kutafuta mali za ndoa. Hapa ndipo wanaume tumejiroga ,wala hakuna wa kumlaumu. We have to change
Kwakwel mindset za vijana kwasasa kuhusu ndoa inahitaji TOTAL REVAMP kabisaaaa yani.Sasa unaweza kujionea madhara ya mwanaume kuwa Simp kwa mwanamke. Mwanamke mwisho wa siku huwa hana huruma na simp na atakutumia kama punching bag.
Siku vijana wakielewa concept ya U'simp imekaaje na madhara yake watanielewa kwanini huwa naandika nyuzi kila siku hapa kuuponda u'simp na kuwaambia wajijenge kisaikolojia upya.
Na wanawake wataendelea kuwa wa hovyo kadiria siku zinavyokwenda hadi siku hawa wajinga "ma'simp" atakapopungua ndipo wanawake akili za kike zitaanza kufanya kazi na kutambua nafasi ya mwanaume katika maisha yao.Kwakwel mindset za vijana kwasasa kuhusu ndoa inahitaji TOTAL REVAMP kabisaaaa yani
We umekunywa banana sio gongoKwani kumbe kaka kamirioni ni mume wa tseshai Maria sarungi au hizi gongo siku hizi wanaongeza na hamira.. 😮💨😮💨😮💨😮💨
Haya ndio masuala NASHAURI kwa ndoa ZA SASA vijana wa kiume (na wa kike pia) wayafanyie kazi. Bila aibu bila haya watu wawekane bayana ili kuepusha migongano mbele ya safari.Sasa mtu anaingia katika mahusiano na mali zako halafu unahalalisha umiliki kwa mtu ambaye amezikuta upo nazo, why msiunde mfumo mpya baada ya kukutana, kama ni rahisi wakatafute zao. Mbona mkikutana kwenye ndoa wao wakiwa na mali hawataki kushare umiliki?
Kwa kifupi mwanamke asiingie kwenye ndoa na misheni ya kutafuta mali ndoa haitadumu au itakuwa haina furaha.Haya ndio masuala NASHAURI kwa ndoa ZA SASA vijana wa kiume (na wa kike pia) wayafanyie kazi. Bila aibu bila haya watu wawekane bayana ili kuepusha migongano mbele ya safari.
Ili mmoja anapoamua vinginevyo, aachwe freeely kabisa kuondoka bila zengwe
Mimi kuanzia sasa mali zitakaa kwenye umiliki wa kampuni. Fullstop. Fungua kampuni brella, hata NGo tu kisha attach umiliki huko unakwepa shida ndogo ndogo hiz ambazo ni too personalKwa kifupi mwanamke asiingie kwenye ndoa na misheni ya kutafuta mali ndoa haitadumu au itakuwa haina furaha.
Mwanamke kumtegemea mwanaume kwa kila kitu sio fedheha wala adhabu na wanaume wanachukulia ni kawaida. Shida ni mwanamke kutaka mashindano ya kiuchumi na wenzake ambao wanajitafutia na huko ndio wanakobeba matatizo kuyaleta ndoani.
Wanaume hawanaga shida na mali kiasi hicho hadi afikie hatua ya kutaka utekese yeye yupo ukiona hivyo basi kuna tabia zako ambazo ulimuonyesha mara kadhaa akapoteza mapenzi na huruma na wewe Mwanamke.
Mwanaume kisasi chake ni kama cha kunguru,atataka akukomoe kwa vitu vidogo vidogo hadi ukiri makosa yote. Ukishindana nae ndio pale jamii inamuona mnyanyasaji kumbe hakuwa anasema tu.
Sasa jamaa kuweka majina ya mali kwa watoto ni wazi anagombana na mkewe sio kwamba hataki mkewe atumie mali zake ila anahofia mwanamke anatata kumdhurumu na mali zake mwenyewe.
Ukosahihi sana. Collabo ya mama na watoto ni balaaa. Hapo hesabu huna watoto.Vitoto vyake kama umevisikia vinamtukana baba yao. Ukiona watoto wanamtukana baba yao jibu tayari unalo kuhusu aina gani ya mwanamke aliyenae.
Watoto kutukana baba inatokana na kusikia mama akimtusi na kumlaani zaidi ya mara kadhaa huko pembeni baba akiwa hasikii chochote.
Kitoto chake kile cha kiume kinamtukana balaa. Baba yake anaumwa kinasema hakijali kwani akiumwa yeye inamhusu nini,sasa mtoto mdogo kama yule tena wa kiume anatoa wapi jazba vile kwa baba yake?Mimi kuanzia sasa mali zitakaa kwenye umiliki wa kampuni. Fullstop. Fungua kampuni brella, hata NGo tu kisha attach umiliki huko unakwepa shida ndogo ndogo hiz ambazo ni too personal
Ukosahihi sana. Collabo ya mama na watoto ni balaaa. Hapo hesabu huna watoto.
Endeleeni kulea watoto KIZUNGUKitoto chake kile cha kiume kinamtukana balaa. Baba yake anaumwa kinasema hakijali kwani akiumwa yeye inamhusu nini,sasa mtoto mdogo kama yule tena wa kiume anatoa wapi jazba vile kwa baba yake?
Ni wazi mama yake anapandikiza chuki kwasababu hata kama baba ni wa hovyo mama anatakiwa kuwa msuluhishi na kumkemea mtoto kwa kosa la kuwa na fikra mbaya kwa baba yake na kumkumbusha kuwa anawajibika kuwajali wazazi wote wawili.
Umekuja kuongea ivyo baada ya kuwa umekuwa mtu mzima, ukaona maku is nothing,Sasa unaweza kujionea madhara ya mwanaume kuwa Simp kwa mwanamke. Mwanamke mwisho wa siku huwa hana huruma na simp na atakutumia kama punching bag.
Siku vijana wakielewa concept ya U'simp imekaaje na madhara yake watanielewa kwanini huwa naandika nyuzi kila siku hapa kuuponda u'simp na kuwaambia wajijenge kisaikolojia upya.
Binadamu tofauti na wanyama amepewa utashi wakujijenga kitaasisi na kuweka taratibu za kuishi.Umekuja kuongea ivyo baada ya kuwa umekuwa mtu mzima, ukaona maku is nothing,
Either appetite Iko down aka libido, ama hela za kuhudumia hunazo. Ni asili mwanaume kuhudumia cheki jogoo mwenyewe Yuko bize kuyatafutia tetea food mshahara wake ni maku tu, yaani kimahusiano nature ilimpa ke odds nyingi na Zinam favor.
Swala Naye anamiliki majike 30 akiyaonyesha nyasi zilipo malipo yake ni kugonga.
Yaani Mungu aliumba ivyo ilo watu wazaliane otherwise homo sapiens species could had perished from the Earth's surface
ukiandika Mirathi inamaana haitaesabiwa kwenye mali zenu pindi akidai?Anza mchakato wa mirathi.. Nani apate nini kwenye nini