Chameleone Kusaini talaka baada ya miaka 17 kwenye ndoa. Adai mali ni za watoto

Ukiwa na hela unakuwa unaringa sana hasa wanaume.

Unakula michepuko kila kona, unakokota mizoga yote inayojiuza , kula pombe za kumwaga na nyama za kufa mtu.

Muda wote huo wife hana cha kukufanya maana wewe unadai maisha ni mafupi u akula mali zako hutaki stress.

Baadae majanga yanakupata sasa. Mwili unaisha nguvu, una konkoroka hata kutembea tu mpaka ushikwe mkono. Mademu na michepuko inakukimbia.

Wakati huo ndio unaanza kutafuta huruma ya Mke wako. Hapo usitafute Mchawi.

Wanaume tujipange. Wala wanawake hawana shida kama tunavyowatangaza
 
mkuu mbona wanataka kugawana na unakuta alikua Mama wa nyumbani?
 
huu ni Utapeli
Sio utapeli.....nguvu zikishaisha na michepuko imekimbia stress zinataka kukua unaanza kutaka kuuza mali zilizobaki. Hapo Mwanamke inabidi asimame kidete mgawane ili ukiuza wewe ufe tu na chako.

Ila sio kwa sababu unataka kufa unauza kila kitu kwa uzembe wako wa kutochukua tahadhari kwenye maisha yako. Harafu unataka huruma ya jamii.
 
Kwani kumbe kaka kamirioni ni mume wa tseshai Maria sarungi au hizi gongo siku hizi wanaongeza na hamira.. ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hyo haipo.
Kama angekuwa amekufa ndo mali zingekuwa za watoto.ila hapo NI MALI ZAO WALITAFUTA PAMOJA
 
Umekopi huko kwa English unaleta hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ