Champions League quarter-final draw: PSG face Manchester City – as it happened

natamani ingetokea Bayern Munich vs Atletico Madrid, hatujawahi shuhudia hii match, japokua inaoneksna kama itaboa vile

na ikitokea season hii....itatokea fainali kwa mujibu wa draw hiyo
 
diego simion aliitoa barcelona ya gerad tata matino ambaye alikuja kuvuruga kila kitu katika timu, barcelona ya luis enrique inacheza direct football tofaut na ya gurdiola,kwa lile basi alilopak wenger pale emirates barcelona ya gudiola ingefungwa kwakua gurdiola alikosa plan b ya kuzikabili timu zinazocheza mpira wa kujihami, luis enrique anamudu kucheza nabtimu zinazojihami zaidi ya kushambulia, pia wakat atletico inaitoa barcelona hii MSN haikuwepo by dat tym
 
mkuu ulichokiongea ni sahihi ila PSV sio timu mbovu ni bingwa nchini mwake pia ndiye anayeongoza ligi had sasa nyuma ya ajax LA ZIADA rejea kifo cha man u uefa makundi
 
mkuu ulichokiongea ni sahihi ila PSV sio timu mbovu ni bingwa nchini mwake pia ndiye anayeongoza ligi had sasa nyuma ya ajax LA ZIADA rejea kifo cha man u uefa makundi
sikatai ni PSV timu nzuri ila cyo level ya atletico madrid, pia kumtoa man u cyo kigezo cha ubora kwa maana man u ilishajifia tangu alivyostafu Furgason
 
sikatai ni PSV timu nzuri ila cyo level ya atletico madrid, pia kumtoa man u cyo kigezo cha ubora kwa maana man u ilishajifia tangu alivyostafu Furgason
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Man u walitaka mafanikio ya haraka ndicho kilichowaumiza ila FERGIE aliwaachia kocha mzur sana japo hawakumpa nafas
 
natamani ingetokea Bayern Munich vs Atletico Madrid, hatujawahi shuhudia hii match, japokua inaoneksna kama itaboa vile
Itaboa Atletico ana defence sana final nzur ni El classico au barca na bayern
 
Tata Martino alikuwa mbovu ndio maana akatolewa robo na hakuchukua kombe lolote
 
Binafsi nusu namuona atletico, madrid, psg na bayern. Sioni kama barca anaweza kumtoa atletico, game kama hzi ni tofauti sana na za la liga, na game ya mwisho inapigwa calderon. Bila shaka simeone ataingia nou camp kutafuta droo game ya kwanza, ili majibu yakapatikane calderon, na kwa jinsi nnavyomjua huyu mtu kwenye game kama hzo droo ni kitu anachoweza kupata
 
nadhani huna utaratibu wa kuzifatilia timu zote za laliga, kumbuka atletico ile inayomtoa barcelona robo fainali na kusonga mbele mpk fainali ndo ilichukua pia ubingwa wa laliga. alafu barcelona ile iliyotolewa na atletico na barcelona ya sasa ni tofauti kabisaaa
 
Mkuu nafuatilia haya mambo kulko unavyofkiria, ni wazi barca alifanya vzuri game walizokutana hvi karibuni, but hapa tunaongelea quarter final ya uefa na si la liga, and by the way mpira hauangaliwi hvyo, kua kama barca kamfunga atletico la liga na uefa atamfunga. Kama ukifkiria hivyo then you know absolutely nothing about atletico katika game kama hzi
 
unadhan barcelona ataingia uwanjani kwa kujiamini kua keshaitoa atletico hapana, atletico ndo strongest opponent katika wote walioingia robo fainal, so barcelona wataingia kwa tahadhari kubwa sana kuliko tunavyodhani
 
Kabla ya draw ya jana nliamini kabisa kati ya timu ambazo barca asingependa kukutana nazo kwa sasa ni atletico, na jana baada ya draw mwanabodi mmoja wa barca alipohojiwa alikiri hilo. Sisemi kwamba barca hawako vizuri, maana wote tunajua uwezo wao. Ila kati ya timu zote zilizobaki including bayern, kama kuna timu inaweza kumtoa barca basi ni atletico, na wenyewe wanatambua hilo, na kwa mtazamo wangu kama barca atapita hapa bila shaka rekodi ya kuchkua ubingwa mfululizo tangu hii michuano ianze kuitwa uefa itakua inamuhusu, maana sioni kama kuna mwingine anaeweza kumzuia kufanya hivyo zaidi ya atletico ya diego simeone
 
siku hizi huwezi jua fainali itakuaje kwa kuwa nusu fainali huwa wanavuruga tena ili kupata opponents
Huu utaratibu sio mzur wa kuvuruga kila hatua, zamani walikuwa wanavuruga baada ya kupata timu 16 then fixture inakuwa inajulikana. Warudishe utaratibu wa zamani. Utaratibu wa sasa unasababisha timu zisizokuwa na uwezo kufika hatua kubwa kibahati bahati, ona sasa hivi benfica na wofsburg zna ubora gani wa kuzd Asernal na Chelsea?
 
kwa takwimu hii uko sahihi kabisa[emoji13] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…