bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
Sio official news.speculation tu.weka full draw na chanzo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio official news.speculation tu.weka full draw na chanzo
natamani ingetokea Bayern Munich vs Atletico Madrid, hatujawahi shuhudia hii match, japokua inaoneksna kama itaboa vile
siku hizi huwezi jua fainali itakuaje kwa kuwa nusu fainali huwa wanavuruga tena ili kupata opponentsna ikitokea season hii....itatokea fainali kwa mujibu wa draw hiyo
huwezi kuwin bila kua na uwezo wa kufunga, atletico madrid ni best team in the world linapokuja swala la defence ila hawana safu kali ya ushabuliaji lyk barcelona, jaribu kuchek namna alivyoingia robo fainali bila kufunga goli hata 1 ndani ya dakika 210 alizocheza dhidi ya timu dhaifu ya PSV
mkuu ulichokiongea ni sahihi ila PSV sio timu mbovu ni bingwa nchini mwake pia ndiye anayeongoza ligi had sasa nyuma ya ajax LA ZIADA rejea kifo cha man u uefa makundihuwezi kuwin bila kua na uwezo wa kufunga, atletico madrid ni best team in the world linapokuja swala la defence ila hawana safu kali ya ushabuliaji lyk barcelona, jaribu kuchek namna alivyoingia robo fainali bila kufunga goli hata 1 ndani ya dakika 210 alizocheza dhidi ya timu dhaifu ya PSV
sikatai ni PSV timu nzuri ila cyo level ya atletico madrid, pia kumtoa man u cyo kigezo cha ubora kwa maana man u ilishajifia tangu alivyostafu Furgasonmkuu ulichokiongea ni sahihi ila PSV sio timu mbovu ni bingwa nchini mwake pia ndiye anayeongoza ligi had sasa nyuma ya ajax LA ZIADA rejea kifo cha man u uefa makundi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Man u walitaka mafanikio ya haraka ndicho kilichowaumiza ila FERGIE aliwaachia kocha mzur sana japo hawakumpa nafassikatai ni PSV timu nzuri ila cyo level ya atletico madrid, pia kumtoa man u cyo kigezo cha ubora kwa maana man u ilishajifia tangu alivyostafu Furgason
Itaboa Atletico ana defence sana final nzur ni El classico au barca na bayernnatamani ingetokea Bayern Munich vs Atletico Madrid, hatujawahi shuhudia hii match, japokua inaoneksna kama itaboa vile
Tata Martino alikuwa mbovu ndio maana akatolewa robo na hakuchukua kombe lolotediego simion aliitoa barcelona ya gerad tata matino ambaye alikuja kuvuruga kila kitu katika timu, barcelona ya luis enrique inacheza direct football tofaut na ya gurdiola,kwa lile basi alilopak wenger pale emirates barcelona ya gudiola ingefungwa kwakua gurdiola alikosa plan b ya kuzikabili timu zinazocheza mpira wa kujihami, luis enrique anamudu kucheza nabtimu zinazojihami zaidi ya kushambulia, pia wakat atletico inaitoa barcelona hii MSN haikuwepo by dat tym
nadhani huna utaratibu wa kuzifatilia timu zote za laliga, kumbuka atletico ile inayomtoa barcelona robo fainali na kusonga mbele mpk fainali ndo ilichukua pia ubingwa wa laliga. alafu barcelona ile iliyotolewa na atletico na barcelona ya sasa ni tofauti kabisaaaBinafsi nusu namuona atletico, madrid, psg na bayern. Sioni kama barca anaweza kumtoa atletico, game kama hzi ni tofauti sana na za la liga, na game ya mwisho inapigwa calderon. Bila shaka simeone ataingia nou camp kutafuta droo game ya kwanza, ili majibu yakapatikane calderon, na kwa jinsi nnavyomjua huyu mtu kwenye game kama hzo droo ni kitu anachoweza kupata
Mkuu nafuatilia haya mambo kulko unavyofkiria, ni wazi barca alifanya vzuri game walizokutana hvi karibuni, but hapa tunaongelea quarter final ya uefa na si la liga, and by the way mpira hauangaliwi hvyo, kua kama barca kamfunga atletico la liga na uefa atamfunga. Kama ukifkiria hivyo then you know absolutely nothing about atletico katika game kama hzinadhani huna utaratibu wa kuzifatilia timu zote za laliga, kumbuka atletico ile inayomtoa barcelona robo fainali na kusonga mbele mpk fainali ndo ilichukua pia ubingwa wa laliga. alafu barcelona ile iliyotolewa na atletico na barcelona ya sasa ni tofauti kabisaaa
Wanaichukulia poa sababu msimu huu wa ligi ya Spain atletico hajamfunga BarcelonaKila ninaposoma comment za watu wanavyoidharau atletico Madrid nabaki kucheka tu!!Hizi game ndio huwa zinampandisha chart Diego simeone!
unadhan barcelona ataingia uwanjani kwa kujiamini kua keshaitoa atletico hapana, atletico ndo strongest opponent katika wote walioingia robo fainal, so barcelona wataingia kwa tahadhari kubwa sana kuliko tunavyodhaniMkuu nafuatilia haya mambo kulko unavyofkiria, ni wazi barca alifanya vzuri game walizokutana hvi karibuni, but hapa tunaongelea quarter final ya uefa na si la liga, and by the way mpira hauangaliwi hvyo, kua kama barca kamfunga atletico la liga na uefa atamfunga. Kama ukifkiria hivyo then you know absolutely nothing about atletico katika game kama hzi
Kabla ya draw ya jana nliamini kabisa kati ya timu ambazo barca asingependa kukutana nazo kwa sasa ni atletico, na jana baada ya draw mwanabodi mmoja wa barca alipohojiwa alikiri hilo. Sisemi kwamba barca hawako vizuri, maana wote tunajua uwezo wao. Ila kati ya timu zote zilizobaki including bayern, kama kuna timu inaweza kumtoa barca basi ni atletico, na wenyewe wanatambua hilo, na kwa mtazamo wangu kama barca atapita hapa bila shaka rekodi ya kuchkua ubingwa mfululizo tangu hii michuano ianze kuitwa uefa itakua inamuhusu, maana sioni kama kuna mwingine anaeweza kumzuia kufanya hivyo zaidi ya atletico ya diego simeonenadhani huna utaratibu wa kuzifatilia timu zote za laliga, kumbuka atletico ile inayomtoa barcelona robo fainali na kusonga mbele mpk fainali ndo ilichukua pia ubingwa wa laliga. alafu barcelona ile iliyotolewa na atletico na barcelona ya sasa ni tofauti kabisaaa
Nimekubali kweli mpira unaujua mkuuKila ninaposoma comment za watu wanavyoidharau atletico Madrid nabaki kucheka tu!!Hizi game ndio huwa zinampandisha chart Diego simeone!
Huu utaratibu sio mzur wa kuvuruga kila hatua, zamani walikuwa wanavuruga baada ya kupata timu 16 then fixture inakuwa inajulikana. Warudishe utaratibu wa zamani. Utaratibu wa sasa unasababisha timu zisizokuwa na uwezo kufika hatua kubwa kibahati bahati, ona sasa hivi benfica na wofsburg zna ubora gani wa kuzd Asernal na Chelsea?siku hizi huwezi jua fainali itakuaje kwa kuwa nusu fainali huwa wanavuruga tena ili kupata opponents
Binafsi nusu namuona atletico, madrid, psg na bayern. Sioni kama barca anaweza kumtoa atletico, game kama hzi ni tofauti sana na za la liga, na game ya mwisho inapigwa calderon. Bila shaka simeone ataingia nou camp kutafuta droo game ya kwanza, ili majibu yakapatikane calderon, na kwa jinsi nnavyomjua huyu mtu kwenye game kama hzo droo ni kitu anachoweza kupata