spinderella
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 1,393
- 1,905
Hakika Allah ni mwingi wa Subra.Waislamu waliamini mtu Kama Idd Amin akienda kuhiji harudi. Mwamba akaenda, akahiji akarudi akaendeleza sera zake huku akiitwa aliaji general Idd Amin.
Kazi ya Padre ni kuadhimisha misa, kuongoza liturujia ya neno pamoja na ya Ekaristi takatifu.Hivi huyu Padre, ripoti za watu kudhulumiwa haki, kupigwa risasi za Moto na kuuawa kule Pemba hajazipata?
Kweli kabisa ndani ya moyo wake anaauamini huu ushindi wa kina Gwajima?
Umenena vyemaKazi ya Padre ni kuadhimisha misa, kuongoza liturujia ya neno pamoja na ya Ekaristi takatifu.
Padre atawahubiria waumini namna impasayo mumini ili apokee Ekaristi takatifu. Baada ya hapo mumini ndiye ajipime kama anastahili au la, lakini siyo jukumu la Padre kupima na kuridhia iwapo muumini anastahili kukomunika au la.
Tuache kuwalaumu viongozi wa dini kwa mambo yasiyo wahusu.
Sali/swali nyumbani kwako viongozi wa dini Tanzania wameshawekwa mifukoni mwa wanasiasa.Hivi huyu Padre, ripoti za watu kudhulumiwa haki, kupigwa risasi za Moto na kuuawa kule Pemba hajazipata?
Kweli kabisa ndani ya moyo wake anaauamini huu ushindi wa kina Gwajima?
Kabisa. Hatuna viongozi wa dini nchi hii wote wako mifukoni mwa wanaccm.Tusali nyumbani tu
Aliye mfukoni Ni yule sheikh Ubwabwa wa Dar es Salaam. Yule aliyekua na ugomvi na sheikh Fulani hivi mtu mwenye busara zake.Kabisa. Hatuna viongozi wa dini nchi hii wote wako mifukoni mwa wanaccm.
Kwani kweli yupo?Mungu ana kazi sana aisee
Idd Amini alikuwa mtu safi Sana!! Ukiondoa propaganda za watanzania, ambao walimchukia Sana, ila nchini kwake alipendwa sana na waganda, ni Kiongozi aliekuwa anawajali sana raia wake.Waislamu waliamini mtu Kama Idd Amin akienda kuhiji harudi. Mwamba akaenda, akahiji akarudi akaendeleza sera zake huku akiitwa aliaji general Idd Amin.
Hapo mkuu wala usiwe na hofu, jamaa kabugia mkate wala siyo mwili na damu ya Kristu!AMEUNGAMA...Akatubu???
Au "anabugia" tu?
Usihukumu
Ndiyo hivyo sasa!!Usihukumu