Chamwino, Dodoma: Rais Magufuli apokea Sakramenti Takatifu leo Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Imakulata

Chamwino, Dodoma: Rais Magufuli apokea Sakramenti Takatifu leo Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Imakulata

Hivi huyu Padre, ripoti za watu kudhulumiwa haki, kupigwa risasi za Moto na kuuawa kule Pemba hajazipata?
Kweli kabisa ndani ya moyo wake anaauamini huu ushindi wa kina Gwajima?
Kazi ya Padre ni kuadhimisha misa, kuongoza liturujia ya neno pamoja na ya Ekaristi takatifu.

Padre atawahubiria waumini namna impasayo mumini ili apokee Ekaristi takatifu. Baada ya hapo mumini ndiye ajipime kama anastahili au la, lakini siyo jukumu la Padre kupima na kuridhia iwapo muumini anastahili kukomunika au la.
Tuache kuwalaumu viongozi wa dini kwa mambo yasiyo wahusu.
 
Umenena vyema
 
Hivi huyu Padre, ripoti za watu kudhulumiwa haki, kupigwa risasi za Moto na kuuawa kule Pemba hajazipata?
Kweli kabisa ndani ya moyo wake anaauamini huu ushindi wa kina Gwajima?
Sali/swali nyumbani kwako viongozi wa dini Tanzania wameshawekwa mifukoni mwa wanasiasa.
 
Wakatoliki. Hebu tuelimisheni maana ya tendo
"$akramenti" maana naona watu wanaongea kila mtu kivyake. Hii sakramenti Ni kitu Kama meza au chai au pombe au Ni maneno Fulani ya kumliwaza mtu?
 
Hiv mungu yupo kweli au story tu....
 
Mambo haya ndo yanawafanya watu fudenge wanaojiita makamanda kumbe walivishwa mapepo na majini wakimbie nchi yetu kwa kisingizio cha kutishiwa kuuawa. Ni mapepo tu hayo ya fitina zao ndio yanayowakimbiza. Hakika kila mwenye husda na nia mbaya juu yako atakimbia mbio.
 
Hapa ndio naamini kile ni kingano tu kama ndio hivi
 
1604981620154.png

Kananajisi Altare!
 
Waislamu waliamini mtu Kama Idd Amin akienda kuhiji harudi. Mwamba akaenda, akahiji akarudi akaendeleza sera zake huku akiitwa aliaji general Idd Amin.
Idd Amini alikuwa mtu safi Sana!! Ukiondoa propaganda za watanzania, ambao walimchukia Sana, ila nchini kwake alipendwa sana na waganda, ni Kiongozi aliekuwa anawajali sana raia wake.
 
Back
Top Bottom