CHAN 2024 | Quarter-Final | FULL TIME Tanzania 0-1 Morocco | Benjamin Mkapa Stadium | 22-08-2025 | Saa 20:00 Usiku

Yaani huku ni kuoneana Tu...Tatizo Sisi ni watu Fulani hivi wanafki wanafki, kiuchezaji Morocco wako mbali yaani ni dunia ya tofauti kabisa, wewe Angalia composure waliyokuwa nayo Tu utajua unacheza na watu wa namna gani, utajua Tu unacheza na wachezaji waliopitia level mbalimbali za makuzi sahihi ya mpira, tunaweza kuifunga Morocco lakini Kwa kubahatisha, lakini Ile level ya mpira wako mbali Sana.
 
SOAP ameshindwa kusaidia mashambulizi
 
Huwa ni utani wa mpira on that given day sio that serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…