CHAN 2024 | Quarter-Final | FULL TIME Tanzania 0-1 Morocco | Benjamin Mkapa Stadium | 22-08-2025 | Saa 20:00 Usiku

Hawa jamaa sio level yetu.
Hapana Kocha hatuna ni level ya ligi yetu ndio inacheza hapo. Kocha anacheza so defensive hivyo kuwapa wao mwanya wa kuupiga mwingi na ukizingatia wao wanacheza mchezo wakushambulia.
 
Nina uhakika huujui mpira au kuucheza. Kwa presha waliyonayo Morocco dhidi ya mashabiki kwa Mkapa wangekuwa wa kawaida washafungwa.

Angalia perfomance ya Morocco, iko very high wanapokuwa na mpira au kuupoteza.
Timu yetu haina kocha kakanilevel ya ligi nfio inacheza hapo.
 
Shemeji yenu anasema magoli atakayofunga Stars leo ndo magoli yangu bedball .... half tayari mbombo ngafu, leo nalala bilabila 🀣🀣
Stars nifanyieni wepesi
Mama piga simu moja morocco tafadhali 🀣
 
Shemeji yenu anasema magoli atakayofunga Stars leo ndo magoli yangu bedball .... half tayari mbombo ngafu, leo nalala bilabila 🀣🀣
Stars nifanyieni wepesi
Mama piga simu moja morocco tafadhali 🀣
Aisee hii nayo kazi kweli kweli
 
Aisee hii nayo kazi kweli kweli
Hii ishakula kwangu nilishamfanyia kwa Man Na Arsenal juzi...leo zamu yangu 🀣
Nakumbuka alinambia nitapata tu mechi we tulia...kaangukia kwa Stars 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…