Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ushindwe na ulegee kwa jina la YESUJamani tunahitaji viungo vya Albino tuweze kushinda jamani....
Jamani tunahitaji viungo vya Albino tuweze kushinda jamani....
Hehehehe...ushindwe na ulegee kwa jina la YESU
Jamani tunahitaji viungo vya Albino tuweze kushinda jamani....
mmmh!....uwanjaniAti nini?
Shadow,duh mbona kama beki yetu imeanza kukatika??
Shadow,
Tatizo nilionalo kwa Tanzania ni mipira ya juu. Chini walau tunaweza lakini juu dah, jamaa zetu wafupi sana!
mhh jamani........lughazzduh mbona kama beki yetu imeanza kukatika??
Dah,Invisible,
Kweli inabidi basi tuweke mpira chini. Mwanzoni mwa gemu Ngassa alianza vizuri sana kuwatesa mabeki wa senegal. Tukiweka mpira chini hawa jamaa tunawafunga. Tukisawazisha najua kabisa wataanza kupwaya!