CHAN Finals: Live from Ivory Coast

CHAN Finals: Live from Ivory Coast

Second half hewani. Senegal 1 Tanzania 0
 
Mchezaji wa senegal no. 19 mgongoni analamba kadi ya njano. Nadhani wa pili huyo sasa. TZ bado hakuna kadi.
 
Jamani tunahitaji viungo vya Albino tuweze kushinda jamani....
 
walikuwa watulambe la pili. Bahati nzuri Dihile kaunyaka kifundi. Lo, na jamaa kaotea pia.
 
Kiungo imekufa wajemeni, duu kushinda hii mechi miujiza kwakweli
 
Shadow,

Tatizo nilionalo kwa Tanzania ni mipira ya juu. Chini walau tunaweza lakini juu dah, jamaa zetu wafupi sana!

Invisible,

Kweli inabidi basi tuweke mpira chini. Mwanzoni mwa gemu Ngassa alianza vizuri sana kuwatesa mabeki wa senegal. Tukiweka mpira chini hawa jamaa tunawafunga. Tukisawazisha najua kabisa wataanza kupwaya!
 
Wabongo tunapenda kweli timu yetu ya Taifa...🙂

Currently Active Users Viewing This Thread: 78 (26 members and 52 guests)
Bubu Ataka Kusema, Akthoo, Alpha, Amwanga, Bantugbro, BelindaJacob, Ben, Chuma, First Lady, Hofstede, Jibaba Bonge, Kilakshari, Masanilo, mujuni2, Mwazange, Njimba Nsalilwe, Nurujamii+, PingPong, Shadow, share, Shy, Songambele, Tiba, varahala, Wandugu Masanja, Yo Yo
 
Wazalendo ngoma tumeelemewa hii...hatushambulii kabisaaa....
 
Invisible,

Kweli inabidi basi tuweke mpira chini. Mwanzoni mwa gemu Ngassa alianza vizuri sana kuwatesa mabeki wa senegal. Tukiweka mpira chini hawa jamaa tunawafunga. Tukisawazisha najua kabisa wataanza kupwaya!
Dah,

Ushabiki mbaya sana... Mpira ukielekea Stars roho inaniuma kwelikweli.

Najipa moyo, tutashinda tuuu
 
Jamaa wanafanya subs ya kwanza. Anatoka Yahly, anaingia Guene
 
Back
Top Bottom