Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,720
wamejitahidi tatizo na ugeni wa mechi za kimataifa.....Ina maana Nsajigwa na Canavarro?
....hivi rire rishem korofi Nyani Ngabu halinaga hobby na soka naona......siasa hajui....olimbaga kinehe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamejitahidi tatizo na ugeni wa mechi za kimataifa.....Ina maana Nsajigwa na Canavarro?
Utaifa wa united states of AfricaKiwango chako cha uzalendo kinatia shaka hata kama na yenyewe ni mataifa, wewe huwa unajitambulisha kwa utaifa upi?
Wameshindwa kumpata liyumba!hata wakifuatilia uraia wangu hawatapata jibu!Makachero wa JF watafatilia uraia wako....shauri yako!! u have been warned
wamejitahidi tatizo na ugeni wa mechi za kimataifa.....
....hivi rire rishem korofi Nyani Ngabu halinaga hobby na soka naona......siasa hajui....olimbaga kinehe
Wameshindwa kumpata liyumba!hata wakifuatilia uraia wangu hawatapata jibu!
It was the same old "TAIFA STARS"!
Defensive we were horrible, Midfield was completely asleep, forward line was kept alive by Mrisho Ngassa (who is an attacking midfielder!).
What I saw tells me that, we will NOT WIN any match. I've lost all the hopes!
Ni walewale wa Senegal tena? goal margin leo inatia moyo, ingawa kufungwa ni kufungwa tu. Mliotazama mechi tupeni taarifa za kiufundi.
so far huu hapa chini ndio msimamo baada ya mechi za kwanza.
1/8th final round
GROUP A
02-28-2009 Cote d'Ivoire 16:00 Senegal
02-28-2009 Zambia 16:00 Tanzania
02-25-2009 Tanzania 19:00 Cote d'Ivoire
02-25-2009 Zambia 16:00 Senegal
02-22-2009 Senegal 1 - 0 Tanzania
02-22-2009 Cote d'Ivoire 0 - 3 Zambia
Group A
Team MP W D L GF GA GD Pts
Zambia 1 1 0 0 3 0 3 3
Senegal 1 1 0 0 1 0 1 3
Tanzania 1 0 0 1 0 1 -1 0
Cote d'v 1 0 0 1 0 3 -3 0
GROUP B
03-01-2009 Ghana 16:00 RD Congo
03-01-2009 Zimbabwe 16:00 Libya
02-26-2009 Libya 18:00 Ghana
02-26-2009 Zimbabwe 15:00 RD Congo
02-23-2009 RD Congo 18:00 Libya
02-23-2009 Ghana 15:00 Zimbabwe