CHAN Finals: Live from Ivory Coast

CHAN Finals: Live from Ivory Coast

Babu niko kwenye web, kifaransa kwa sana na naona mda unazidi kuyoyoma, nipo mzigo alafu security systems kibao kwenye mtandao, alafu simu inatumia mda kwelkweli...asante
 
bado 0-0, ila hawa waTZ wakitulia tunawaweza. Sema bado wachezaji wanasoma jezi mara kibao.
 
Sasa wachezaji wetu wakijitahidi nasi huenda ule msemo wa "Kichwa cha......" utaondoka.
 
Bao limefungwa dakika ya ngapi na nani kafunga mkuu? Safi sana,inabidi kucheza jihad
 
Pongezi kwa Dihile. Amefanya dive moja matata sana. Kama nyani!
 
oooh,safi sana.halafu yo yo,uanze tena mambo ya yanga uone.kwi kwi kwi!
 
Kuda...da...da...da...da... Deki kipa wetu si mchezo!.
Half Time.
Mungu endelea kuibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom