Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YeahTukitoka hata 2-2 si tumepita wakuu?
Tz amepata magoli mengi ugeniniKama matokeo yakiisha kwa stars kushinda 2 kwa 1 Nani atapita?
Nchimbi na mpira umeisha tumepindua meza kibabeeeNani kafunga goal la 2?
StarsKama matokeo yakiisha kwa stars kushinda 2 kwa 1 Nani atapita?
Uko sahihi MkuuAggregate,inakuwa 2-2 Stars inapita kwa thamani ya goli LA ugenini
2-2 tunatoka coz aggregate inakuwa 3-2 faida kwaoTukitoka hata 2-2 si tumepita wakuu?
Leo Yondan hajacheza lakinNyoni na kelvin wakistaaf wanastahili nonge za tuzo..
Hivi vizee vipo poa sana.
Nchimbi noma sanaNchimbi na mpira umeisha tumepindua meza kibabeee
3-2 wapi tena mkuu2-2 tunatoka coz aggregate inakuwa 3-2 faida kwao
uemNgoja tusubiri
Unamlisha matikiti pori mwenzio ww😀Yeah