CHAN: Sudan 1 vs 2 Tanzania - Taifa Stars yafuzu mashindano ya CHAN kwa faida ya goli la ugenini

CHAN: Sudan 1 vs 2 Tanzania - Taifa Stars yafuzu mashindano ya CHAN kwa faida ya goli la ugenini

Nyoni na kelvin wakistaaf wanastahili nonge za tuzo..

Hivi vizee vipo poa sana.
 
Hongereni Tanzania kwa kufuzu CHAN Cameroun kwa ushindi mnono wa 2 - 1. Mmepambana kiume.

Shukrani pia kwa Ditram Nchimbi. Nimekupigania humu uitwe kwenye timu ya Taifa kwa sababu ya ubora ulionao. Umeongeza kitu kwenye mechi ya leo.
 
Mtoa mada natamani nikuone pu.....u zimenyweaje 😂😂😂 pole
 
Back
Top Bottom