Chaneli zaidi ya 23000+ kwa Tsh.9000/= kwa mwezi ila unapewa masaa 24 ya kuzitazama kabla ya kununua

Chaneli zaidi ya 23000+ kwa Tsh.9000/= kwa mwezi ila unapewa masaa 24 ya kuzitazama kabla ya kununua

Na hizi gharama za mabando bro?
Utaona tv tu kwa mwezi imekula 500k 😂😂😂
Maana matumizi ya kawaida kwa kutumia router kwa siku natumia 10k sasa hiyo tv watoto washinde wanatazama catoons,mara movies utasikia 30k shwalalalaaaa
Naona WiFi ni rahisi zaidi au huko ni tofauti?
 
Na hizi gharama za mabando bro?
Utaona tv tu kwa mwezi imekula 500k 😂😂😂
Maana matumizi ya kawaida kwa kutumia router kwa siku natumia 10k sasa hiyo tv watoto washinde wanatazama catoons,mara movies utasikia 30k shwalalalaaaa
Nunua Airtel 110k/month 30MBps
 
tatizo hizi iptz link kila siku zina expire.utanisaidiaje kwa hilo?? mimi ninayo bundle unlimited tayari
Na hapo ndipo utata ulipo, kila siku zina expire na yeye sie anayehost hizo TV kila siku ni kuhamishwa hapa unapelekwa kule, mara mia ukawalipe wale wazungu wenyewe kidodgo unakua na amani make mi nina uhakika kabisa mbongo yeye anaziotea tu zile za bure huko mtandaoni then anauza leo unapewa Link za Dstv mara kesho imekwisha unarudi Square one.
 
IPTV zipo za free na paid, free zina corrupt sana, paid ni reliable kwasababu server zao zinakuwa maintained zipo kibiashara, wengi bei zao wanacharge kwa mwezi, around 10usd, miezi 3 around 25Usd, kuna miezi 6 na mwaka, wanatoa channel nyingi sana, ukitaka uinjoy zaidi hii service hasa hd & 4k channels uwe na unlimited internet, lkn hiyo ya kupimiwa itakubore tu
 
Hizi ni kama unavyo nunua vifurushi vya king'amuzi kama ni mwezi mmoja au miwili n.k
shukrani kaka sasa nimeelewa baada ya kutest hapa naenjoy...wewe huhusiki na kucreat iptv link wewe ni umewezesha kununua tu...
 

Attachments

  • IMG_20240922_105824.jpg
    IMG_20240922_105824.jpg
    407.5 KB · Views: 17
Game ya
Simba vs Tripoli🔥🔥 tumefaidi
 

Attachments

  • XRecorder_22092024_173636.mp4
    22.9 MB
Binafsi nahusika na uuzaji wa Online TV (IPTV)

Katika SmartTv pia na Smartphone



Kifurushi cha mwezi ni Tsh.9,000/=

Hapo kuna

Live tv 23,000+

Movies 10,000+

Series 10,000+



Chaneli nyingi za ulaya,America,Africa n.k

Chaneli za DSTV 180+

Canal Afrique 150+

Azam tv 5 (azam 1&2 azam sport hd 1,2,3)

Movies ni nyingi saana latest



Ila kabla hujanunua natoa link ya Buree ambayo utaitumia kwa masaa 24 kuona hizo chaneli kama utalidhika nazo basi ndio tutafanya biashara,kwa Tsh.9,000/=
Mkuu, unaitumia hii au unaitangaza tu?! Nimekuwa nikitafuta IPTV isio na magumashi lakini sijafanikiwa!!
 
Nimeanza kuzitumia hizi siku nyingi sana. Siyo Bongo lakini kwani tatizo la Bongo ni Internet. 1. Unatakiwa uwe sehemu ambayo speed ni nzuri sana eg karibu kabisa ya mnara wa kampuni ya line ya simu unayotumia. 2. Bei ya bando. IPTV ukiwa majuu ndiyo mambo yote kwani unakuwa na speed kubwa ya Internet halafu ni unlimited, wewe hununui bando bali kunakuwa na flat rate ya mwezi.
Mkuu, unaweza kunitajia moja wapo au zaidi ambazo ni reliable?! Nitacheki mwenyewe kama services zao zipo hadi Afrika!

NB: Hayo ya kuwa karibu na mnara wa simu ni majaliwa tu ndugu yangu, Bongo ni matatizo. Binafsi naishi chini ya 20M kutoka Mnara wa Simu lakini bado speed ninayopata ni majanga; kwahiyo ingawaje streaming inawezekana; mara kadhaa inakuwa kwenye low video quality hadi wakati mwingine nikiona movie/tv kali Netflix nalazimika kuitafuta torrent na ku-download.
 
Hapana ni biashara nauza inafanya kazi vizuri tu! Kaka naomba nikutumie test kwa masaa 24 uone kwanza
Mkuu, unaitumia hii au unaitangaza tu?! Nimekuwa nikitafuta IPTV isio na magumashi lakini sijafanikiwa!!
Bia
 
Back
Top Bottom