Chaneli zaidi ya 23000+ kwa Tsh.9000/= kwa mwezi ila unapewa masaa 24 ya kuzitazama kabla ya kununua

Chaneli zaidi ya 23000+ kwa Tsh.9000/= kwa mwezi ila unapewa masaa 24 ya kuzitazama kabla ya kununua

Binafsi nahusika na uuzaji wa Online TV (IPTV)

Katika SmartTv pia na Smartphone

Kifurushi cha mwezi ni Tsh.9,000/=

Hapo kuna

Live tv 23,000+

Movies 10,000+

Series 10,000+

Chaneli nyingi za ulaya,America,Africa n.k

Chaneli za D@STV 180+

C@nal Afrique 150+

Az@m tv 5 (az@m 1&2 az@m sport hd 1,2,3)

Movies ni nyingi saana latest

Ila kabla hujanunua natoa link ya Buree ambayo utaitumia kwa masaa 24 kuona hizo chaneli kama utalidhika nazo basi ndio tutafanya biashara,kwa Tsh.9,000/=

Ni lazima udownload app hii ndio inayo tumika

Kisha utanicheck nikupe test link au 1 month subscription kwa Tsh.9,000/= tu
Mpaka sasa hii huduma nimeikubali kaka, iko vizuri 🔥🔥. Ukiwa na unlimited Internet ndio poa zaidi, maana utakuwa huwazi kuhusu bundle kuisha.
 
Attachments

  • 20240928_172705.jpg
    20240928_172705.jpg
    803.8 KB · Views: 22
Na hapo ndipo utata ulipo, kila siku zina expire na yeye sie anayehost hizo TV kila siku ni kuhamishwa hapa unapelekwa kule, mara mia ukawalipe wale wazungu wenyewe kidodgo unakua na amani make mi nina uhakika kabisa mbongo yeye anaziotea tu zile za bure huko mtandaoni then anauza leo unapewa Link za Dstv mara kesho imekwisha unarudi Square one.
Okey nakupa solution kz mimi pia natumia. Search WAKATV hii ina kuwa hosted toka South Africa Huto juta channels ni HD isipo kuwa zaki Bongo kama EATV trial One week then uta anza lipia.
 
Inashawishi
Mkuu ni nzuri sana. KWa majaribio download WAKATV toka South Africa ni IPTV ina kupa trial wiki moja kama uta enjoy jiunge natumia. NIlicho fanya ni kupata unlimited internet nika unga. Mwezi ni USD8.
 
Hizi za kulipia ni nzuri kama una uhitaji na channel za azam sport,,,,ila kama unataka app ya mpira wa ulaya bas app ya cricfy tv ina channel zote za mpra kama super sport ,,bein sport,TNt sport na nyingne nying na zote ni HD na ni bure kabsa
 
Huduma hii daima inatumia bando ni teknolojia ya IPTV (Internet Protocal Television) kama nchi za wenzetu ulaya nyumba nzima huoni dish limetundikwa wanatumia hii teknolojia kwa sehemu kubwa
Umeshindwa kuelewa swali ? Kuna mambo mawili moja kuwa na bando.la kawaida kwanza pili ndiyo upate hiyo huduma baada na nayo kuwa umelipia ? Kama inatumia bando.la kawaida kwanza basi jua hiyo huduma yako imesha shindwa maana bei ya bando ni juu sana kuweza kutumia simu kama kingamuzi na tv ya kawaida
 
Hizi za kulipia ni nzuri kama una uhitaji na channel za azam sport,,,,ila kama unataka app ya mpira wa ulaya bas app ya cricfy tv ina channel zote za mpra kama super sport ,,bein sport,TNt sport na nyingne nying na zote ni HD na ni bure kabsa
Hamna kitu hapo, azam channels loading...... tu, usipoteze hela yako bure.
 
Test ni buree masaa 24 usiishie kuambiwa tu! Kama utaona inafaa ndio utanunua.Muda kipindi cha mshike mshike 👇👇 live no bufferi
 
Attachments

  • XRecorder_04102024_210653.mp4
    9.5 MB
Toa maelezo kdog kuhusu hi
Binafsi nahusika na uuzaji wa Online TV (IPTV)

Katika SmartTv pia na Smartphone

Kifurushi cha mwezi ni Tsh.9,000/=

Hapo kuna

Live tv 23,000+

Movies 10,000+

Series 10,000+

Chaneli nyingi za ulaya,America,Africa n.k

Chaneli za D@TV 180+

C@nal Afrique 150+

Az@m tv 5 (az@m 1&2 az@m sport hd 1,2,3)

Movies ni nyingi saana latest

Ila kabla hujanunua natoa link ya Buree ambayo utaitumia kwa masaa 24 kuona hizo chaneli kama utalidhika nazo basi ndio tutafanya biashara,kwa Tsh.9,000/=
 
Binafsi nahusika na uuzaji wa Online TV (IPTV)

Katika SmartTv pia na Smartphone

Kifurushi cha mwezi ni Tsh.9,000/=

Hapo kuna

Live tv 23,000+

Movies 10,000+

Series 10,000+

Chaneli nyingi za ulaya,America,Africa n.k

Chaneli za D@TV 180+

C@nal Afrique 150+

Az@m tv 5 (az@m 1&2 az@m sport hd 1,2,3)

Movies ni nyingi saana latest

Ila kabla hujanunua natoa link ya Buree ambayo utaitumia kwa masaa 24 kuona hizo chaneli kama utalidhika nazo basi ndio tutafanya biashara,kwa Tsh.9,000/=
Naomba mwongozo
 
Mkuu nahitahi hii huduma aisee.
 
Back
Top Bottom