Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
azam wanakuview
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ulaya unataka kulinganisha na Afrika kweli?.Huduma hii daima inatumia bando ni teknolojia ya IPTV (Internet Protocal Television) kama nchi za wenzetu ulaya nyumba nzima huoni dish limetundikwa wanatumia hii teknolojia kwa sehemu kubwa
Mkuu ingia google, search ''list of IPTV providers'' utapata list ndefu. Soma website zao zote ili uchague gharama nafuu na yenye channels zinazokidhi mahitaji yako. Nyingine wanakupa mpaka offer ya kujaribu kwa masaa kadhaa kabla hujanunua.Mkuu, unaweza kunitajia moja wapo au zaidi ambazo ni reliable?! Nitacheki mwenyewe kama services zao zipo hadi Afrika!
NB: Hayo ya kuwa karibu na mnara wa simu ni majaliwa tu ndugu yangu, Bongo ni matatizo. Binafsi naishi chini ya 20M kutoka Mnara wa Simu lakini bado speed ninayopata ni majanga; kwahiyo ingawaje streaming inawezekana; mara kadhaa inakuwa kwenye low video quality hadi wakati mwingine nikiona movie/tv kali Netflix nalazimika kuitafuta torrent na ku-download.
aliye nani mkuu acha uogaaa,mimi ndio natumia hapa alinipa free trial 24 ikaisha ikanivutia now nimeunga full mwenzi.. full burudaniiiKuna mtu atalia muda si mrefu
nowdays tunatumia unlimited kaka achana na hizo 5k uje dunia nyingineSasa ulaya unataka kulinganisha na Afrika kweli?.
Hapa kwetu bundle la 5000/- unatumia siku moja na hiyo speed ya net sasa!!
Whatever.nowdays tunatumia unlimited kaka achana na hizo 5k uje dunia nyingine
Tusaidie tusiojua nini tofauti ya movie na seriesMovies 10,000+
Series 10,000+
Series ni filamu ambazo niza muda mchache au mrefu ila zikawa na muendelezo mrefuTusaidie tusiojua nini tofauti ya movie na series
Fiber na router ndio mpango mzima.DK 90 za mpira unatumia GB 2 kama utaangalia kwa HD, bei ya bando sh. 46000 approx. 5000/=
Hapo si bora ukajisalimisha kwa kaburu...
Asante mkuuSeries ni filamu ambazo niza muda mchache au mrefu ila zikawa na muendelezo mrefu
Movies ni zile za muda mrefu kiasi kama saa moja na nusu hasi mawili na isiwe na muendelezo.
InashawishiBinafsi nahusika na uuzaji wa Online TV (IPTV)
Katika SmartTv pia na Smartphone
Kifurushi cha mwezi ni Tsh.9,000/=
Hapo kuna
Live tv 23,000+
Movies 10,000+
Series 10,000+
Chaneli nyingi za ulaya,America,Africa n.k
Chaneli za DSTV 180+
Canal Afrique 150+
Azam tv 5 (azam 1&2 azam sport hd 1,2,3)
Movies ni nyingi saana latest
Ila kabla hujanunua natoa link ya Buree ambayo utaitumia kwa masaa 24 kuona hizo chaneli kama utalidhika nazo basi ndio tutafanya biashara,kwa Tsh.9,000/=
Ni lazima udownload app hii ndio inayo tumika
![]()
IPTV Smarters Pro APK for Android Download
IPTV Smarters Pro 4.0.3 APK download for Android. Free IPTV App - Designed for Android Phones, Android Boxes, Fire TV Sticks etc.www.google.com
Kisha utanicheck nikupe test link au 1 month subscription kwa Tsh.9,000/= tu
[emoji845] VIFURUSHI BEI[emoji845] ZIMESHUKA LEO WAHI[emoji845]Na hizi gharama za mabando bro?
Utaona tv tu kwa mwezi imekula 500k [emoji23][emoji23][emoji23]
Maana matumizi ya kawaida kwa kutumia router kwa siku natumia 10k sasa hiyo tv watoto washinde wanatazama catoons,mara movies utasikia 30k shwalalalaaaa
Inafanya kazi, ila mpaka ui up date.Yaccine mbona siku hizi kama inagoma?
Kila nikiapdeti nikifungua inaniambia downloadInafanya kazi, ila mpaka ui up date.
Mkuu usilinganishe maisha yako ukachukulia watanzania wote wanaishi hivyo.Whatever.
Afrikan county raia wake hawawezi kutumia hizo kitu hasirani.
Unlimited kwa raia gani sasa na kipato gani?.
Ahsante Mkuu, wacha nifuate huo ushauri.Mkuu ingia google, search ''list of IPTV providers'' utapata list ndefu. Soma website zao zote ili uchague gharama nafuu na yenye channels zinazokidhi mahitaji yako. Nyingine wanakupa mpaka offer ya kujaribu kwa masaa kadhaa kabla hujanunua.
Mie TV langu la chogoHuduma hii daima inatumia bando ni teknolojia ya IPTV (Internet Protocal Television) kama nchi za wenzetu ulaya nyumba nzima huoni dish limetundikwa wanatumia hii teknolojia kwa sehemu kubwa
Huko kwenye bando za kupimiana watu wameshaondoka kitambo, kama wewe bado unatumia mbado za kupimiwa hiyo huduma haikuhusu.Sasa ulaya unataka kulinganisha na Afrika kweli?.
Hapa kwetu bundle la 5000/- unatumia siku moja na hiyo speed ya net sasa!!
Kama hautajali, njoo in B, tuongee, nikutumieje!Kila nikiapdeti nikifungua inaniambia download